Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Capital letters ni kichefuchefu mbele ya jamii ya wasomi!ALITUMIA 2015 DHAMBI IKO WAPI KUTUMIA 2020 KWA UNATAKA KUSEMA TUNDU LISU KUVAA KANZU NA BALAGASHIA ANATAFUTA HURUMA YA WAISLAMU ACHHENI UPUMBAVU WA SAIASA ZA BEI NAFUU
Ashaambiwa vya kufanya ila anajitoa fahamu kwa sababu ya kuwa na kijichohebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa jpm tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri
jf
Huko huko Tweeter JPM anapewa za uso sana,nenda kasome comments!Lakini pia imeanzishwa Poll huko,JPM kagalagazwa vibaya mno!View attachment 1562440
View attachment 1562441
kama unajiskia vibaya vumilia tu , huu mchezo hauhitaji hasira maaana ccm ipo mpaka mwaka 2100
Alisema hashauriki,tena ukimshauri ndio umeharibu kabisaa!Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri
jf
Hili linaweza kabisa kwani yeye tayari ana matokeo mfukoni, huku kutembea anatimiza mradi tu.Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Kuna nyuzi nyingi sana humu watu walimshauri sana juu ya kukandamiza sekta binafsi, kukandamiza wafanyabiashara wakijua kuwa ajira nyingi zinatoka huko! Mwishoni waliishia kutukanwa na kuitwa wapiga dili.Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri
jf
We uko wapi tangu wakati wa mchakato mbona hilo lilojadiriwa, jaribu kugoogle uoneHuyo jama yenu alikusudia kabisa kumnadi mgombea wa act wazalendo, msihamishe magolii.
Huku akihutubia idadi kiduchu ya watu. Alidhani kule nako wanashoboka na KIKI za miujizaa
Ndio maana mzee baba anapaniki kila uchaoShida ni kwamba wapambe walimuaminisha mzee baba kwamba mambo ni fresh. Sasa mzee baba katoka kwenye theory kaja kwenye practical, anakutana na hali halisi, against uongo wa wapambe wake akina Kabudi, Kibajaji, Ndugai nk, wanaomsifu hata anapokwenda kombo. 🤣 🤣 🤣. 🤣. I am sure kuna kitu anajifunza, in a hard way!
Ameshachelewa huyo..atajifunzia nje ya ulingoMagufuli JPM Dr.Hon amekuwa rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Katika kipindi hiki cha kampeni kila alikopita amekutana na ukweli mchungu kuhusu hali halisi ya maisha ya watanzania.Kwa kiasi kikubwa nchi imebadilika negatively...
Wewe umeona wapi jiwe likishauriwa na jiwe kaziyake nikutupwa tu popote kule.Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri
jf
Mbona hizo ajira kila bajeti, huwa zinatoka? Mwezi juzi madaktari wameajiliwa hukusikia??Mmebanwa mbavu mpaka mmekurupuka kutangaza ajira za walimu 13,000!Na bado,mpaka kampeni ziishe mtakuwa mmebaki kama mijusi!
Kwa hiyo Mimi nimgoogle huyo jamaa yenu, Si afadhali nitumie bando kumgoogle membee. Maaana nikiharibu bando langu kumgoogle jamaa yenu, nitakutana na speech ya mitusiii adi tajuta.We uko wapi tangu wakati wa mchakato mbona hilo lilojadiriwa, jaribu kugoogle uone
Inafanana na mitusi mliyokuwa mkimtukana EL?Mbona hizo ajira kila bajeti, huwa zinatoka? Mwezi juzi madaktari wameajiliwa hukusikia??
Kwahyo Mimi nimgoogle huyo jamaa yenu, Si afadhali nitumie bando kumgoogle membee. Maaana nikiharibu bando langu kumgoogle jamaa yenu, nitakutana na speech ya mitusiii adi tajuta.
Sasa kama mnajua anamatokea mfukoni, jamaa yenu anafanya kampeni za nini??Hili linaweza kabisa kwani yeye tayari ana matokeo mfukoni, huku kutembea anatimiza mradi tu.