Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hao wote ni Wana CCM, wakifanya kampeni wewe inakuuma Nini? Nyie chadema mna wanachama wengi watumeni wakawaombeeni kura. Mnajua hawatasikilizwa ndo maana mmetanguliza huyo Lissu ili watu wamshangae.Wote hawa yaan mmetumia jeshi lenu lote, pamoja nakufanya siasa maiaka 5.
Lissu ni Mwamba.
Huyo poyoyo wenu Salum Mwalimu nae mtumeni akaombe kura Kama anavyofanya Mama Samia muone Kama Kuna mtu ataenda kumshangaa.