Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kwa mtazamo wangu naona kuna makundi yanatumika na CCM kueneza propaganda zake Ila uchaguzi ukiisha watatupwa kwenye dustbin.
1. Wasanii
Hawa wanakatika majukwaani na kuonyesha tupu zao kwa (wanawake) kisa CCM ngoja uchaguzi uishe sijui mtaficha wapi sura zenu mpizojichubua.
2. Baadhi ya watumishi wa umma
Baadhi ya watumishi wa umma wanapindisha sheria na taratibu ili kuibeba CCM lakini kumbukeni kesho yenu hamuijui. Jifunzeni kwa Nape, January, Membe, Makamba Sr, Sumaye n.k. Japo hawa ni wanasiasa lakini mjue mchawi hana rafiki. Leo anakutumia kesho anakutumbua kwa aibu.
Endeleeni na makundi mengine myajuayo.