Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wote hawa yaani mmetumia jeshi lenu lote, pamoja nakufanya siasa maiaka 5.
Lissu ni Mwamba.
Lissu ni Mwamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado ata watoboaWote hawa yaan mmetumia jeshi lenu lote, pamoja nakufanya siasa maiaka 5.
Lissu ni Mwamba.
Lisu ameshafika ukingoni bwashee!Alafu bado CCM mnaweweseka!!! Dadeki!!! Lissu ni kama Mfalme Daudi tu aliyepambana na Goliathi na majeshi yake na kuyashinda!!!
Go Lissu,wapeleke mpela mpela hawa wahuni wa kijani
Thubutu yenu!!! Mtajuta kumfahamu Lissu mwaka huu!!Lisu ameshafika ukingoni bwashee!
Sasa tunamnyatia anapotoka siye tunaingia kufukia mashimo!Thubutu yenu!!! Mtajuta kumfahamu Lissu mwaka huu!!
Kwani watanzania ni wajinga? Ni wapi mlipojibu hoja za Lissu zaidi ya kukopi sera zake tu!!Sasa tunamnyatia anapotoka siye tunaingia kufukia mashimo!
Yule ni mama wa taifa na ule ni mji wake bwashee!Lissu anawavuruga MaCCM hadi mkaenda kumkokota mama Maria Nyerere ambaye akaamua wazalilisha CCM jukwaani 🤣
Hata mukimfufua mkapa marahii hatuogopi tenaLisu ameshafika ukingoni bwashee!
Lisu hana hoja huwa analalamika tu bwashee!Kwani watanzania ni wajinga??? Ni wapi mlipojibu hoja za Lissu zaidi ya kukopi sera zake tu!!
Hahahaaaa...... Kiinglishi cha Kigwangalla ni kama cha Kibajaj tu![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1563966
Mnaona baba yenu kichwa kilivyo vimba kama kinataka kupasuka, Lissu atatuulia mtu.Lisu ameshafika ukingoni bwashee!
Lisu anatoa povu tu hamna hoja mule!Mnaona baba yenu kichwa kilivyo vimba kama kinataka kupasuka, Lissu atatuulia mtu.
Somo analofundisha hamuwezi kulitoa akilini mwa watu kwa kwenda kuwakatikia viuno.Sasa tunamnyatia anapotoka siye tunaingia kufukia mashimo!