Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hao wote ni Wana CCM, wakifanya kampeni wewe inakuuma Nini? Nyie chadema mna wanachama wengi watumeni wakawaombeeni kura. Mnajua hawatasikilizwa ndo maana mmetanguliza huyo Lissu ili watu wamshangae.Wote hawa yaan mmetumia jeshi lenu lote, pamoja nakufanya siasa maiaka 5.
Lissu ni Mwamba.
Ahahahaaaaa jeshi la mtu mmoja linawahenyeshaSasa tunamnyatia anapotoka siye tunaingia kufukia mashimo!
Halafu chadema wote wanategemea Lissu pekee Yake. Ujinga huu.Thubutu yenu!!! Mtajuta kumfahamu Lissu mwaka huu!!
Ukweli ni chama kikongwe hapa nchini,ila kinakasoro.kina ma GREAT THINKER kweli?Kwa mikakati hii ya kampeni za CCM jinsi ilivyosetiwa kisayansi jamii sioni namna Tundu Lisu na wagombea wengine wa upinzani wataweza kuipenya ngome ya CCM...
Kwani shida iko wapi??? Mbona wana Israël walimtegemea Daudi kupambana na Goliathi??? Na Daudi akawashindia kwa mkono wa Mungu???Halafu chadema wote wanategemea Lissu pekee Yake. Ujinga huu.
Kwa wenye akili za kuvukia barabara tu hawawezi kuzielewa hoja zake.Lisu anatoa povu tu hamna hoja mule!
Halafu CCM wote wanamjadili Lissu tu,huu ni utaahira mkubwa sana.Halafu chadema wote wanategemea Lissu pekee Yake. Ujinga huu.
Ni haki yake ya kikatiba.Sasa kama mnajua anamatokea mfukoni, jamaa yenu anafanya kampeni za nini??
Sasa hivi limekuwa ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaUkweli ni chama kikongwe hapa nchini,ila kinakasoro.kina ma GREAT THINKER kweli?
GT ni namna wewe unavyomtafsiri bwashee!Ukweli ni chama kikongwe hapa nchini,ila kinakasoro.kina ma GREAT THINKER kweli?
Labda muibe sera ya Hashim Rungwe inaweza kuwasaidia kidogo watu wskishashiba.Sasa tunamnyatia anapotoka siye tunaingia kufukia mashimo!
Kuna nyuzi nyingi sana humu watu walimshauri sana juu ya kukandamiza sekta binafsi, kukandamiza wafanyabiashara wakijua kuwa ajira nyingi zinatoka huko! Mwishoni waliishia kutukanwa na kuitwa wapiga dili...
It’s Tundu Lissu all the way 2020 - 2025Heil the JPM 2020-&
Uzuri mmoja mama maria mwenyewe amesema hadharani kuwa CCM mnamlazimisha na pia Andrew Nyerere amedhibitisha kuwa mnamtisha Mama Maria.Yule ni mama wa taifa na ule ni mji wake bwashee!
Lisu alishindwa kwenda kumwamkia mzee Mtei pale Arusha, ni utovu wa nidhamu!
Wewe unamwamini Andrew?!Uzuri mmoja mama maria mwenyewe amesema hadharani kuwa CCM mnamlazimisha na pia Andrew Nyerere amedhibitisha kuwa mnamtisha Mama Maria.
andrew ana tofauti gani na mgombea wenu?Wewe unamwamini Andrew?!
Kwahyo hii nayo Niki anafanya?Ni haki yake ya kikatiba.
Hueleweki.Kwahyo hii nayo Niki anafanya?
Wewe unamwamini Andrew?!