Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
HONGERA KWA KUCHAGUA UJINGA,NA KUWEKA AKILI STOO 🤣🤣🤣Kusema kampeni za Ccm ni ngumu ni vichekesho
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa Chadema mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge
Daah! Anaumiza Sana uchumi wa mwananchi mmoja mmoja huyu jamaaHivi unamtoza mmachinga kodi ya 20k kwa mwaka wakati wewe mshahara wako hulipi kodi . Unapora KOROSHO za watu na kuwalipa kwa mafungu
Waliopanda hili roli ni Nyumbu wanarudishwa serengeti mbuga za wanyama.
Msingi na chekecheaSorry mkuu,hao huwa ni wanafunzi ni wa kada zipi vyuo,msingi, au sekondari
Hii picha ya mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi
Mwanao wa chekechea nae amapandaga maloriMsingi na chekechea
Tunakudharau sana hapa
Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.
Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.
HONGERA KWA KUCHAGUA UJINGA,NA KUWEKA AKILI STOO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1995 bendera ya chadema haikuwa na hizo rangi.Hii picha ya mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi
CCM walikiuka hata sheria walizotunga wenyewe wakawapandisha watoto wa chekechea kwenye malori.Mwanao wa chekechea nae amapandaga malori
Kila mtu akija na matakwa yake na akasisitiza yatekelezwe huyo hatakuwa rais.Kumbe kiongozi anatakiwa aendeshe kwa matakwa ya nani kama siyo wao wananchi?
Kwa matakwa yake yeye kiongozi? Huo ndiyo udikteta uliyokomaa.
Unafuata lini Akili yako huko STOO?🤣🤣🤣View attachment 1567011 Angalia wenzio wanasombwa wakamwone lissu, mwakilishi wa Wazungu
Eeh! Hapa ni sawa na padri kumkosoa sheikhe juu ya yaliomo kwenye msahafu1995 bendera ya chadema haikuwa na hizo rangi.
Uwezo wakufikili huwa unapmwa kwamambo Kama aya..... sasaiv naona mnatumia Nguvu nying kuamnisha watu kuwa huwa ata Chadema wanabeba watu....mnaangaika kla Kona kufatlia matukio yachadema,huu niupumbavu nautoto kwann uskubal tu kuwa unasomba watu paka ushindane,Kwan mmeanza mwaka huu?aya tafuta na za Fiesta yachadema ili tuone unavyopambana nampinzani wako kuamnsha watu ujingaView attachment 1567011 Angalia wenzio wanasombwa wakamwone lissu, mwakilishi wa Wazungu
Hapana mkuu siyo kila mtu. Ni kwa mtindo wa wengi wape. Maamuzi yakipata sapoti ya wengi yanakuwa halali.Kila mtu akija na matakwa yake na akasisitiza yatekelezwe huyo hatakuwa rais.
Nini kinakupa jeuri ya kujipa matumaini haya?kujipa matumaini ni jambo zuri bt huu chaguzi chadema wataangukia pua mpaka hawatasahau, kama mtafikisha wabunge 10 basi mshukuru propaganda za bwana lissu.