Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ni fahari sana kudharauliwa na mtu wa Chadema, nitakosa amani siku Rais Magufuli akiniambia ananidharau, Kwasababu yeye ndiye Mzalendo namba moja

Chadema insyotumika na Wazungu wakinidharau Nafurahi mno
Tunakudharau sana hapa
 
Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.

Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.

Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.

Ni mnyapala wa barabara tu.
 
HONGERA KWA KUCHAGUA UJINGA,NA KUWEKA AKILI STOO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20200912_081929.jpg
Angalia wenzio wanasombwa wakamwone lissu, mwakilishi wa Wazungu
 
Kumbe kiongozi anatakiwa aendeshe kwa matakwa ya nani kama siyo wao wananchi?

Kwa matakwa yake yeye kiongozi? Huo ndiyo udikteta uliyokomaa.
Kila mtu akija na matakwa yake na akasisitiza yatekelezwe huyo hatakuwa rais.
Nyumba inakuwa na kiongozi na rais ndio mwenye kazi ya kuongoza nchi.
Hakuna nchi yenye kujiendea tu kwa rais kumsikiliza kila mtu. Ni lazima nidhamu iwepo ili nchi isonge mbele.
 
kujipa matumaini ni jambo zuri bt huu chaguzi chadema wataangukia pua mpaka hawatasahau, kama mtafikisha wabunge 10 basi mshukuru propaganda za bwana lissu.
 
View attachment 1567011 Angalia wenzio wanasombwa wakamwone lissu, mwakilishi wa Wazungu
Uwezo wakufikili huwa unapmwa kwamambo Kama aya..... sasaiv naona mnatumia Nguvu nying kuamnisha watu kuwa huwa ata Chadema wanabeba watu....mnaangaika kla Kona kufatlia matukio yachadema,huu niupumbavu nautoto kwann uskubal tu kuwa unasomba watu paka ushindane,Kwan mmeanza mwaka huu?aya tafuta na za Fiesta yachadema ili tuone unavyopambana nampinzani wako kuamnsha watu ujinga
 
kujipa matumaini ni jambo zuri bt huu chaguzi chadema wataangukia pua mpaka hawatasahau, kama mtafikisha wabunge 10 basi mshukuru propaganda za bwana lissu.
Nini kinakupa jeuri ya kujipa matumaini haya?
 
Back
Top Bottom