Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengi utaziona kura watakazompa Magufuli Oktoba 28 mwaka huu.Hapana mkuu siyo kila mtu. Ni kwa mtindo wa wengi wape. Maamuzi yakipata sapoti ya wengi yanakuwa halali.
Uwezo wakufikili huwa unapmwa kwamambo Kama aya..... sasaiv naona mnatumia Nguvu nying kuamnisha watu kuwa huwa ata Chadema wanabeba watu....mnaangaika kla Kona kufatlia matukio yachadema,huu niupumbavu nautoto kwann uskubal tu kuwa unasomba watu paka ushindane,Kwan mmeanza mwaka huu?aya tafuta na za Fiesta yachadema ili tuone unavyopambana nampinzani wako kuamnsha watu ujinga
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Ingekuwa rahisi hivyo asingelialia huko mikoani na kusema mbona marais wengine wamepewa miaka 10 kumi kwani yeye ametukosea nini!! Hii ni ishara tosha kishatambua hatakiwi na 28Oct anaweza akafungishwa virago.
Dah!!! brother!!!napata shda Sana kung'amua uelewa wako,inawezekana wewe chaguzi za vyama vingi tz ndio mala yako yakwanza kushiriki.....ili lakubeba watu kwenye maroli Kama ng'ombe CCM halijaanza leo....kwaiyo ustumie Nguvu kubwa kuamnsha watu....mwaka2000 kwastaili ilsha wahi tokea ajar kubwa pale Nyakato national Jj Mwanza....;Tafuta point za msingi ila sio kujchosha na Kitenco chako kwenye mikutano yawapinzan ata viongoz wako huwa wanaona haibu kujbu ili nahc ndio maana wanawatumia walemavu wafikra Kama nyny.maroli niutalatbu waCCM toka mwaka1995 ili kuuhadaa ulmwengu kuwa wanakubalka lakn niuongo.usichokijua pia huwa kunafungu lakuwalpa hao kwaajl yachakula kwasiku watakayo kua fiestan,mwaka huu ndio dau lilipungua kdogo nlienda kufanya tafti zangu singida sku amefka jiwe,nkaambiwa walilipwa elfu5 kla mtu....tofaut namiaka mingne tulkuaga tunapewa elfu10 adi 15....;Tafuta sababu nyngne ila hii itakuabshaView attachment 1567029 punguza hasira sio mimi niliyeamrisha watu wasombwe wakamwone lissu ?
Hiyo bajeti ya kusomba watu ipo kwenye gharama za kampeni Chadema
Dah!!! brother!!!napata shda Sana kung'amua uelewa wako,inawezekana wewe chaguzi za vyama vingi tz ndio mala yako yakwanza kushiriki.....ili lakubeba watu kwenye maroli Kama ng'ombe CCM halijaanza leo....kwaiyo ustumie Nguvu kubwa kuamnsha watu....mwaka2000 kwastaili ilsha wahi tokea ajar kubwa pale Nyakato national Jj Mwanza....;Tafuta point za msingi ila sio kujchosha na Kitenco chako kwenye mikutano yawapinzan ata viongoz wako huwa wanaona haibu kujbu ili nahc ndio maana wanawatumia walemavu wafikra Kama nyny.maroli niutalatbu waCCM toka mwaka1995 ili kuuhadaa ulmwengu kuwa wanakubalka lakn niuongo.usichokijua pia huwa kunafungu lakuwalpa hao kwaajl yachakula kwasiku watakayo kua fiestan,mwaka huu ndio dau lilipungua kdogo nlienda kufanya tafti zangu singida sku amefka jiwe,nkaambiwa walilipwa elfu5 kla mtu....tofaut namiaka mingne tulkuaga tunapewa elfu10 adi 15....;Tafuta sababu nyngne ila hii itakuabsha
Mkuu tumaini lao lotee ni tume tu ichakachue sana kama ilivyofanya kwa EL vinginevyo huyo mtu wao ambae wanasema kafanya mengi madege,reli bwawa la umeme Rufiji yote hayajamsaidia kipindi cha mvutano wa suala la korosho bungeni alifikia hatua ya kumuuliza katibu mkuu Bashiri namba ya wabunge wa ccm huko kusini akidai anaweza kuwafukuza wote,leo hii amini usiamini anamwomba Kikwete na mkewe wamsaidie kampeni mikoa ya kusini,shida yake kubwa alijiaminisha katika vitu na si maisha ya watu.Sasa hiyo 90% unaipima na kuipataje ikiwa mgombea wa CCM hana mvuto, mpaka malori yatumike, shule zifungwe na wanafunzi wahudhurie?
😂😂😂😂🤣🤣🤣Kauli ya kisiasa.....unafel mkuu.....mwenzio kasoma upepo ndio maana anaomba huruma ya watanzania......ndio maana adi mama nyerere akalazmishwa kwenda kumuombea kura hali nitete usidanganywe namaneno yamtandaoni au watu mnaowasomba kwenda kushuhudia wasanii.ingia mitaan ndio utapata jibu....me npo nazunguka kufanya tafti anapopta magufuri na Ccm...nimefka Nilianzia Dodoma,singida,Arusha,babati,Mara,Mwanza,na Maswa Simiyu...kifup hali ntete kwawatu ndan kabsa usidanganywe namaneno yawatu wenye access ya mtandao.Bla janjajanja safar hii mtu anaweza weka history yakua Rais wamiaka5 tuHiyo ni kauli ya kisiasa kuongezea kura zifikie 99%,October 28 mtashaanga
Kwenye biashara hapo bana hii nchi iache utani,,Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.
Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kauli ya kisiasa.....unafel mkuu.....mwenzio kasoma upepo ndio maana anaomba huruma ya watanzania......ndio maana adi mama nyerere akalazmishwa kwenda kumuombea kura hali nitete usidanganywe namaneno yamtandaoni au watu mnaowasomba kwenda kushuhudia wasanii.ingia mitaan ndio utapata jibu....me npo nazunguka kufanya tafti anapopta magufuri na Ccm...nimefka Nilianzia Dodoma,singida,Arusha,babati,Mara,Mwanza,na Maswa Simiyu...kifup hali ntete kwawatu ndan kabsa usidanganywe namaneno yawatu wenye access ya mtandao.Bla janjajanja safar hii mtu anaweza weka history yakua Rais wamiaka5 tu
Je hiyo kesho watakuwa na uhakika wa maisha? Je watakuwa na uhakika wa ajita? Je mikopo ya elimu ya juu itakuwa rafiki kwao? Je huduma za kijamii zitakuwa zenye manufaa nao?Wanafunzi ndio wapiga kura wa kesho, tatizo CHADEMA mmjezana wengi wenye fikara zisizo ona mbali
Ndugu,hao wote uliowataja hawana mvuto kabisa,kwakuwa hawana jipya.Tatizo watu wanakuwa na maana zao za usikivu na unyenyekevu ambazo ni za kumtaka kiongozi aendeshe nchi kwa matakwa yao.
Tupo milioni 59 ikiwa rais atamsikilza kila mtu hip haitakuwa nchi bali itakuwa Bar.
Kampeni hazijadorora tena zimeboreshwa kwani mashambulizi yanatokea kila upande.
Mama Samia, Pinda, Kikwete, JPM na Majaliwa wanashambulia jukwaa katika mikoa tofauti huwezi kulinganisha na Lissu anayetembea mkoa mmoja hadi mwingine na akipitisha michango kwa wanaomsikiliza.
Je hiyo kesho watakuwa na uhakika wa maisha? Je watakuwa na uhakika wa ajita? Je mikopo ya elimu ya juu itakuwa rafiki kwao? Je huduma za kijamii zitakuwa zenye manufaa nao?
Aisee!!! Uko vizuri. Wapi ajira zimetolewa ili vijana waliohitimu ualimu, udaktari, uuguzi, sheria nk. wakaajiriwe?Yote hayo Rais Magufuli ameyafanya
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Vipi,na wewe na ukoo wako mlisobwaView attachment 1567011 Angalia wenzio wanasombwa wakamwone lissu, mwakilishi wa Wazungu
Unajikweza sana while you are nothing..me npo nazunguka kufanya tafti anapopta magufuri na Ccm...nimefka Nilianzia Dodoma,singida,Arusha,babati,Mara,Mwanza,na Maswa Simiyu...
Vipi,na wewe na ukoo wako mlisobwa