Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Ukiingia kwenye UE (mtihani) wa masaa matatu ukakuta pepa nyepesi ukaipiga kwa dk 45, basi utatumia masaa mengine mawili na ushee kuendelea kuwachora wenzako jinsi wanavyohenyeka kwenye chumba cha mtihani...