Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ni ratiba mkuu, ana siku mbili za kupumzika Kama lisu alivyo pumzika.
 
Sio kila kitu fast but accurate pilau huwa haipikwi fast!!!! Pilau sio fast food!!! inategemea unaongelea nini.Tatizo la kusoma kwa kukariri ndilo hilo.Ukiambiwa fast and accurate unaona tayari mjuaji kuwa kila shughuli inatumia hiyo principle!! Hakuna kitu kibaya kama mtu kusoma kwa kukariri na sio kuelewa

Mikutano ya siasa hatuendi kama Chadema unakuta hata kijukwaa cha kuhutubia Lisu anasimama juu ya meza ya kuuzia mitumnba.Angalia vijukwaa alivyotumia Lisu bagamoyo na morogoro ni mgombea uraisi kusimama vijukwaa kama vya Lisu au Membe

Sisi quality ni muhimu kwetu mkutano uwe highly organuzed logistics zote yakiwemo majukwaa sound system nk Akienda akute kila kitu classic
Mkuu achana na hao🖕 nyumbu, unajipa tabu bure tu.
 
Ukiwa na viongozi wanne wanaofanya kampeni katika maeneo manne tofauti sio sawa na mmoja anaye kampeni sehemu moja tu.

Suala la ubora wa utekelezaji wa sera ndio linaloibeba CCM.

Narudia tena, wingi sio ubora. Watanzania tupo wengi na tuna ardhi kubwa kuliko Sweden au Uswisi, lakini sisi ni masikini wa kutupwa. Hivyo wingi au ukubwa bado haiminishi ubora. Dunia ya sasa kipimo cha kwanza ni ubora na sio wingi.

Kuwa na wingi wa mikutano haimaanishi ina ubora wa content. Utekelezaji wa sera ya ccm hayo ni malengo waliyojiwekea ccm, na sio matamanio ya wananchi. Ukitaka kujua ilani ni mipango ya chama na sio lazima iwe matamanio ya wananchi, angalia mkutano wa masaa tuseme matatu, masaa mawili ni burudani, nusu saa ni wapambe kujisifia wao na chama chao, kisha mgombea anatumia dakika 10-15 kuhubiri atakacho. Hakuna mwananchi anauliza chochote, wala kushauri chochote. Katika mazingira kama hayo una uhakika gani kuwa hiyo ilani ya chama imekidhi matamanio ya watu, zaidi ya watu kushurutishwa kukikubali chama?
 
endeleeni kutunga uongo
Unasoma mambo nusu nusu; ndiyo iliyoongelewa kwenye thread nyingine jinsi chadema obnline walivyo na hasira. Post yangu haijasema uwongo wowote bali inatoa possible scenarios, lakini wewe tayari umeshafura. Punguza munkali, kwa hali hii mgombea wako akishindwa unaweza kupata ugonjwa wa moyo.
 
Ingawa ni mgombea, bado pia ni Rais wa nchi kwa hiyo hawezi kutumia muda wote kwenye kampeini na kusahahau majukumu ya uraisi. Halafu kama angekuwa na woga, ndipo angekuwa anafanya kampeini usiku na mchana lakini kwa vile hana hofu basi anaweza kuchukua time-off ili kufanya mambo mengine.

October 28 ndiyo fainali.

Kumbe bado Ni rais?! Nilijua ameshakabidhi madaraka kwa kujibu wa sheria ya uchaguzi na Katiba..

Huyo ni mgombea wa urais na sio rais wa nchi...
 
Aliacha ofisi akaenda Chimbo Chato miezi miwili, safari hii ndo anaikumbuka sana ofisi? - Si mlisema raisi anaweza. kufanyia kazi mahali popote, sasa kwa nini arudi Ikulu?
Kwani Chato hakuna ofisi? Hukuwa unaona kazi zikiendelea toka ikulu ya Chato?
 
Kumbe bado Ni rais?! Nilijua ameshakabidhi madaraka kwa kujibu wa sheria ya uchaguzi na Katiba..

Huyo ni mgombea wa urais na sio rais wa nchi...
Kwahiyo kwa akili zako, nchi haina Rais kwa sasa😳? Hivi we jamaa zimo kweli🤔?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Magufuli hawezi kuacha ofisi muda wote. Yeye bado ni rais na mtumishi wa watanzania na sasa yuko ikulu anafanya kazi za watanzania
Akimaliza hapo atarudi ulingoni kutetea kiti chake

Ndio umeandika Nini...

Kama Ni rais anaomba kupigiwa kura za Nini?!
 
Back
Top Bottom