Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Uongo gani sasa 😂, kwani Yule sio Rais kwa Sasa?endeleeni kutunga uongo
Sasa kama ni rahisi hivyo kwanini basi anafanya kampeni tena si yeye tu kama mgombea bali na wastaafu na wasanii zaidi ya 200?Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mchuuzeni tuMagu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata
Kampeni za kikemia fekiKampeni ya CCM ya safari ni ya kisayansi zaidi CCM hatuna mcheche hutuoni na helikopta wala ndege slow but sure
Sio kila kitu fast but accurate pilau huwa haipikwi fast!!!! Pilau sio fast food!!! inategemea unaongelea nini.Tatizo la kusoma kwa kukariri ndilo hilo.Ukiambiwa fast and accurate unaona tayari mjuaji kuwa kila shughuli inatumia hiyo principle!! Hakuna kitu kibaya kama mtu kusoma kwa kukariri na sio kuelewaKalia falsafa za kizee eti slow but sure, watu wanakwenda fast but accurate.
Hana presha, ameshajihakikishia ushindi tayari, acha apumzike kwao, Kama wakati ule wa corona.Mwenzake Pumzi ilipokata akaenda Dubai!! ukiachana na Lissu bora Hashim Rungwe kuliko hao
tatizo betri jamani .Vikampeni vinne tu sasa ndo mtu afleti mapema namna hii?
Magufuli hawezi kuacha ofisi muda wote. Yeye bado ni rais na mtumishi wa watanzania na sasa yuko ikulu anafanya kazi za watanzania
Akimaliza hapo atarudi ulingoni kutetea kiti chake
Acha Rais apumzike, yeye Ni mtu mhimu Sana kwenye taifa kuliko huyo jamaa yenu.Pumzi imekata kudadeki
Haya sawa, tuseme tu Magufuli amemuachia Lissu Urais,ili uridhike 😂😂.Aliacha ofisi akaenda Chimbo Chato miezi miwili, safari hii ndo anaikumbuka sana ofisi? - Si mlisema raisi anaweza. kufanyia kazi mahali popote, sasa kwa nini arudi Ikulu?
Ana umuhimu gani labda kwako mi namuona kama takataka tuAcha Rais apumzike, yeye Ni mtu mhimu Sana kwenye taifa kuliko huyo jamaa yenu.