Mkuu achana na hao🖕 nyumbu, unajipa tabu bure tu.Sio kila kitu fast but accurate pilau huwa haipikwi fast!!!! Pilau sio fast food!!! inategemea unaongelea nini.Tatizo la kusoma kwa kukariri ndilo hilo.Ukiambiwa fast and accurate unaona tayari mjuaji kuwa kila shughuli inatumia hiyo principle!! Hakuna kitu kibaya kama mtu kusoma kwa kukariri na sio kuelewa
Mikutano ya siasa hatuendi kama Chadema unakuta hata kijukwaa cha kuhutubia Lisu anasimama juu ya meza ya kuuzia mitumnba.Angalia vijukwaa alivyotumia Lisu bagamoyo na morogoro ni mgombea uraisi kusimama vijukwaa kama vya Lisu au Membe
Sisi quality ni muhimu kwetu mkutano uwe highly organuzed logistics zote yakiwemo majukwaa sound system nk Akienda akute kila kitu classic
We mama acha kupanikiNyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Una kiingereza cha ajabu sana, hii elimu uliyoipata katika ofisi za ccm-lumumba imekuharibu ubongoKampeni ya CCM ya safari ni ya kisayansi zaidi CCM hatuna mcheche hutuoni na helikopta wala ndege slow but sure
Ni ratiba mkuu, ana siku mbili za kupumzika Kama lisu alivyo pumzika.
Wewe mwenye akili jenga hoja ueleweke sio kulia lia humu kama ngedere poriMbumbumbu chadema
Ukiwa na viongozi wanne wanaofanya kampeni katika maeneo manne tofauti sio sawa na mmoja anaye kampeni sehemu moja tu.
Suala la ubora wa utekelezaji wa sera ndio linaloibeba CCM.
Unasoma mambo nusu nusu; ndiyo iliyoongelewa kwenye thread nyingine jinsi chadema obnline walivyo na hasira. Post yangu haijasema uwongo wowote bali inatoa possible scenarios, lakini wewe tayari umeshafura. Punguza munkali, kwa hali hii mgombea wako akishindwa unaweza kupata ugonjwa wa moyo.endeleeni kutunga uongo
Kuliko Kinana au NapeAcha Rais apumzike, yeye Ni mtu mhimu Sana kwenye taifa kuliko huyo jamaa yenu.
Ingawa ni mgombea, bado pia ni Rais wa nchi kwa hiyo hawezi kutumia muda wote kwenye kampeini na kusahahau majukumu ya uraisi. Halafu kama angekuwa na woga, ndipo angekuwa anafanya kampeini usiku na mchana lakini kwa vile hana hofu basi anaweza kuchukua time-off ili kufanya mambo mengine.
October 28 ndiyo fainali.
ARV zimeanza kudunda. Tatizo ukichomi na Bhujingi haachi.
Wewe ni nyumbu tangu lini nyumbu akaona akaelewana na simba?Ana umuhimu gani labda kwako mi namuona kama takataka tu
Kwani Chato hakuna ofisi? Hukuwa unaona kazi zikiendelea toka ikulu ya Chato?Aliacha ofisi akaenda Chimbo Chato miezi miwili, safari hii ndo anaikumbuka sana ofisi? - Si mlisema raisi anaweza. kufanyia kazi mahali popote, sasa kwa nini arudi Ikulu?
Niambie, ni lini mwenye njaa akaacha kwenda kutafuta chakula?Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniw
Kwahiyo kwa akili zako, nchi haina Rais kwa sasa😳? Hivi we jamaa zimo kweli🤔?Kumbe bado Ni rais?! Nilijua ameshakabidhi madaraka kwa kujibu wa sheria ya uchaguzi na Katiba..
Huyo ni mgombea wa urais na sio rais wa nchi...
So mo dewji analala tu,pumzi imekata bwashee😃😃😃Niambie, ni lini mwenye njaa akaacha kwenda kutafuta chakula?
Mwenye shibe ndiye mwenyo off nyingi kwenye maisha yake!
Wee jamaa mbona unachemka sana.Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata
Magufuli hawezi kuacha ofisi muda wote. Yeye bado ni rais na mtumishi wa watanzania na sasa yuko ikulu anafanya kazi za watanzania
Akimaliza hapo atarudi ulingoni kutetea kiti chake