Sasa inahusiana vp na engine ya mzee baba kuchemsha?Chadema uwezo wa kufikili mdogo sana
Huna unachokijua, natamani siku moja niandike kinachoendelea lakini roho inasitaKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Kwahiyo kwa akili zako, nchi haina Rais kwa sasa😳? Hivi we jamaa zimo kweli🤔?
bado ni rais; katiba haimuwondolei urais mpaka siku rais mwingine akiapishwa. Rais mawaziri, wakuu wa mikoa na spika bado wana nafasi hizo hadizinapojazwa na mwingine; nchi haiwezi kuongozwa na ombwe.
View attachment 1567144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au ame-left kampeni!! Sijafuatilia kampeni safari hii, hivi zile push-ups bado zipo?
Mkuu ubora upo na ukitaka ushahidi wa ubora ni tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Chama tawala kina wanachama milioni nane hao ni wapiga kura bado hatujaongelea wale wapya wanaoshawishiwa na kampeni.
Kila ukiona nguo ya kijani kwenye kampeni tambua hiyo ni kura tayari.
Kawaida yake,hajawahi kufanya Mambo kwa matakwa ya nyumbu Kama nyie, muda ukifika alioupanga kulingana na ratiba zake ataendelea na kampeni.Pumzi imekata kakimbilia kwa mama kusema 😄😄😄😄
Kuna tafsiri nyingi hapa
1. Keshajihakikishia ushindi kwa njia zisizojulikana
2. Amekata tamaa
3. Uchovu na afya
4. Mbinu ya kumpumbaza adui
5.UKATA
Kwa Sheria ipi mkuu au Kwa kauli ya midomo yako tu! Katiba inautambua uwepo wao halafu wewe unakuja na kauli za kusadikika hapaWeka na Sheria ya uchaguzi ambayo inampa hicho cheo Cha urais....
Ilipaswa ht hao mawaziri waache kufanya kazi na kuwaachia makatibu wa wizara... Lkn kwa kuwa madaraka Ni ya kulevya wanajiona bado Viongozi.... Rais na mawaziri hawatakiwi kuwepo ofisini kipindi Hiki Cha uchaguzi..
We kenge kwani LISU hajapumzika anyooshe mguu?Pumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.
Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
Ni maoni yako mkuu una haki kuwa nayo.Hiyo tarehe 28 October wala usiongee maana hakuna uchaguzi. Idadi ya wapiga kura tayari ni ya kupika, hapo unachochote cha kusifia kuwa kuna uchaguzi? Hiyo tarehe 28 ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura na wala sio uchaguzi kwa maana ya uchaguzi. Unapokuwa na tumebya uchaguzi iliyoundwa na mtu kama Magufuli, utakuwa mwendawazimu kuongelea uchaguzi kwa kujisifia.
Hamna sheria ambayo iko juu ya katiba kwani katiba ndiyo sheria kuu. Sheria za uchaguzi kuhus mgombea wa urais zinasema hiziWeka na Sheria ya uchaguzi ambayo inampa hicho cheo Cha urais....
Ilipaswa ht hao mawaziri waache kufanya kazi na kuwaachia makatibu wa wizara... Lkn kwa kuwa madaraka Ni ya kulevya wanajiona bado Viongozi.... Rais na mawaziri hawatakiwi kuwepo ofisini kipindi Hiki Cha uchaguzi..
Kwamujibu wa katiba yako wewe😂, nchi inatakiwa iongozwe na nani wakati huu wa kampeni?Weka na Sheria ya uchaguzi ambayo inampa hicho cheo Cha urais....
Ilipaswa ht hao mawaziri waache kufanya kazi na kuwaachia makatibu wa wizara... Lkn kwa kuwa madaraka Ni ya kulevya wanajiona bado Viongozi.... Rais na mawaziri hawatakiwi kuwepo ofisini kipindi Hiki Cha uchaguzi..
Sio kila kitu fast but accurate pilau huwa haipikwi fast!!!! Pilau sio fast food!!! inategemea unaongelea nini.Tatizo la kusoma kwa kukariri ndilo hilo.Ukiambiwa fast and accurate unaona tayari mjuaji kuwa kila shughuli inatumia hiyo principle!! Hakuna kitu kibaya kama mtu kusoma kwa kukariri na sio kuelewa
Itakuwa ulimaanisha Membe, hawakufanya vizuri kwakweli.Kuna siku nilipost kuwa nimeoteshwa moja kati ya popular candidate atajitoa kwenye uchaguzi huu kwasababu mbali mbali lakini chaajabu @moderetors waliufuta huo Uzi
Naona something will happen but @modes sikuvunja sheria kutoa kilicho moyoni
Kampeni ni quality sio quantity angalia Lisu vimiikuttani vyake aluvyofanya idadi ya watu ndogo.,vijukwaa anavyisimamia very poor,picha za mikutano mnaweka ta my edit ya 2015!! CCM ?mumecheki?Lissu ana haki ya kupumzika maana alipiga kazi nzito
Sasa huyu vikampeni vinne ulimi nje!
Bora aachane na biashara za urais akapumzike zake Chato aache wrnye nguvu wapige kazi ya kurejesha haki nchini
Mdahalo unatumiwa kwa ajili ya mtu kuelezea anakusudia kufanya nini na atatumia mbinu zipi kutekeleza makusudio yake.Sio kweli, Magufuli ni mgombea dhaifu, ila mwenye kiburi cha madaraka. Mbona 2015 hakwenda kwenye mdahalo? Mbona JK 2010 alijiandalia mdahalo wa kichina wakati alikuwa madarakani tayari? Ukiona mtu anakwepa midahalo ujue ni muongo, hivyo anapenda kuhubiri bila kuhojiwa lolote, kusudi alishe watu akitakacho fullstop.