Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Bila kujifariji kwa maneno kama hayo watakuwa na hali ngumu ya mioyo yao..wamefura wivu, hasira na chuki..kwa sasa tuwaonee huruma..tuwaunge mkono wanapojifariji.

Juzi wamesingizia serikali imezuia chopa kuruka..mara magufuli atajiongezea muda..hawataki maendeleo ya vitu halafu hapo hapo wanaahidi kuwajengea machinga masoko.
 
Au inawezekana afya haimruhusu kuendelea na mikikimikiki ya kampeni. Tungoje CCM watujuze zaidi

Lakini kikubwa zaidi, wana CCM wengi hawana shauku ya kumpigania Magufuli kwenye kampeni za mwaka huu isipokuwa kwa unafiki na hofu tu ya kushughulikiwa.
Sasa kama ni afya mbona juzi alikuwa anapiga push up kuonesha kuwa yuko fit
 

Wale watoto wa shule na askari na wafanyakazi mnaowapeleka ni wa kazi gani?
 
Hana mvuto mwaka huu
Halafu Chakubanga jana kaja na utafiti wake eti atashinda 85% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda za kupika Ikulu kama kawaida yao
 

Unachosha Sana wewe, nyie ndio wale mwalimu akifudisha somo Leo unakuja KUELEWA somo Kesho jioni yake, mjinga wewe,

Katiba inasemaje Kwa mfano
 
Sio kwa kila mtu .kuna watu wenye pesa zao cha kwanza anachojali ni quality bila kujali cost sababu pesa ipo.Anayejali cost sana ni lofa ndio maana tajiri yuko tayari kwenda kula chips mayai hoteli kubwa kwa gharama ya elfu 30 chips mayai mawili kuliko kula mtaani kwa mchoma chips mayai kwa shilingi elfu tatu mia tano

Go revise your notes. Jitahidi kuelewa unachosoma usipende kukariri tu unachosoma ili upate cheti
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mkuu

Kawe Alumni nilibashiri kuwa [emoji723] yako hii itarudi wakati wa kampeni.. Natumai umelipwa malimbikizo yako
 
Yaan hii nayo hoja? Rudi kajifue
Kwa wasioelewa kama wewe unahitaji kuji kujifua ili uwamishe watu kwamba wanaokusaidia hata CHANJO ZA WATOTO na zaidi ya 50% ya bajeti yako ya afya ( CCHP) kupitia basket fund ati ni MABEBERU?
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza ,kapimwe hospital uwezo wa ubongo wako kufanya kazi ,"swine"
 
Lissu noma na hawezi kupata usingizi CCM walijua kazi rahisi
 
Nine like nimeona haitoshi, naongezea huku kwamba, Wewe ndo mkweli na unaupenda ukweli, ulichoandika ni ukweli tupu, Magu na apumzike hata wiki tatu, kwani Hana wasi hata kiduchu

Ni Rais tena, asiyetaka ajinyonge au ahame nji
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mshaurini apumzike home. Asipige kampeni.
 
Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata

Shabiki wa CCM hata kuandika kiswahili fasaha ni shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani hata kubishana na wewe ni matumizi mabovu ya muda, nakushauri ni bora ukawa ni msomaji tu na sio kuchangia kwa kuandika sentensi kama mwanafunzi wa Memkwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…