Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Leo ni zamu ya Mkoa wa Singida kwenda kusikia yaliyofanyika na sera zenye muelekeo mpya wa Tanzania ya kujitegemea.
 
Story za madaraja na ndege zitawasaidia vipi walima alizeti wa singida,

Mi nashauri Lisu na yeye aitishe mkutano wake Singida siku hiyo hiyo ya September 2
 
Story za madaraja na ndege zitawasaidia vipi walima alizeti wa singida,

Mi nashauri Lisu na yeye aitishe mkutano wake Singida siku hiyo hiyo ya September 2
Kwa mara ya kwanza Shule zinachukua Chaki Singida.
Kwa mara ya kwanza Mji wa Singida punda na watu wanakanyaga lami.
Hospitali na vituo vipya vya Afya vimejengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…