Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yes aliwajali sana watu wa Bukoba walipopata janga la Tetemeko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida wako bize na mambo yao hawana hata habari kama kuna mhadhara wa ccm
CCM ni mkusanyiko wa WEZI na Mafisadi walio kubuhu kwa watu wasio na hatia
Eti wasema??Singida wako bize na mambo yao hawana hata habari kama kuna mhadhara wa ccm
Watu tuko bize na mambo yetu ila nimeona malori tupu yana bendera sijui ndo yanafuata watu huko vijijini?Endelea kufuatilia utujulishe[emoji3]
Kwa mara ya kwanza Shule zinachukua Chaki Singida.Story za madaraja na ndege zitawasaidia vipi walima alizeti wa singida,
Mi nashauri Lisu na yeye aitishe mkutano wake Singida siku hiyo hiyo ya September 2
Mimi niko makiungu ndo najiandaa andaa kuingia mkutanoni sasaWatu tuko bize na mambo yetu ila nimeona malori tupu yana bendera sijui ndo yanafuata watu huko vijijini?
Unasubiri lori mkuu?Mimi niko makiungu ndo najiandaa andaa kuingia mkutanoni sasa