Tena aondoke. Tumechezewa Sana kwa miaka hii mitano
Huyu hakustahili kuwa Rais wa nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hakustahili kuwa Rais wa nchi
Wamelewa madaraka. Miaka 60 madarakani siyo mchezo. Uzee umewanyemelea. "Thinking capacity is in erosion".Kweli Polepole na Bashiru ndiyo mwisho wenu wa kufikiria umeishia hapo. Yani karne hii ya technologia na utandawazi na mwenyekiti wenu mkamshauri ivyo na bila kusita akakubali....
Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
Ushamba mzigoHupenda kuzuia maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani mpaka siku akipita anaitisha mkutano anaomba wananchi waulize maswali baada ya maswali humdhalilisha mbunge wa upinzani na kisha kutoa Amri maendeleo yafanyike haraka na ndipo wananchi huona kuwa bila yeye mbunge angefeli kuleta maendeleo ni mbinu zake za kujionyesha kuwa bila yeye hakuna maendeleo popote Nchini.
Hayo ni mawazo yako..huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
KabisaWaziri Mkuu alikataza matumizi ya viroba ila wanaccm wenzake wanaendelea kuvitumia.
Wewe una mawazo yapi? au hutaki boss wako akosolewe?Hayo ni mawazo yako
Hiyo ndio maana makusanyo yote yanaelekezwa mfuko mkuu wa makusanyo.Ili wawe wapole...huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
Matokeo ya baadhi ya wenye mamlaka kukubalu kuporwa na mtu mmoja.Kwa kusema ndiooo hata kwa Yale yenye kudhulumu haki.Ila wabunge wetu nao wanashangaza sana,
Wakati anaomba kura anatoa ahadi kama vile yeye ndiye anakwenda kuzitekeleza kwa fedha zake za mfukoni,
Halafu akiona kashindwa kutimiza ahadi zake atawaambia wananchi kuwa kuzitimiza hizo ahadi alizozitoa sio jukumu lake Bali ni la Serikali.
Na kwamba eti yeye hakusanyi Kodi hivyo wasimsumbue.
Unabakia kujiuliza kama alijua yote hayo hizo ahadi alizitoa ili iweje.
Hiyo ndio maana makusanyo yote yanaelekezwa mfuko mkuu wa makusanyo.Ili wawe wapole.
Huyo ni magu katika ushenzi na udhalilishaji wake.Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
Mtaji wa CCM ni Ujinga...Ukiona mtu anaenda hapo ujue ni utopolo
Ahadi huwaahidi vizuri lakini kwa upande wa ccm hujitahidi kuwatekelezea kiasi fulani hata kwa 60% lakini zile ahadi za wabunge wa upinzani hubuni mbinu za kuwakwamisha kwa kutumia halimashauri wakurugenzi ili mbunge wa upinzani aonekane hafai kabsa, huu ujinga umekuwa sana kwenye awamu hii ya tano zaidi huko nyuma kwa kikwete mkapa hawakuwa na shida hawakuwaingilia wakurugenzi kuwaamuru kuzuia maendeleo kwa makusudi kama sasa.Ila wabunge wetu nao wanashangaza sana,
Wakati anaomba kura anatoa ahadi kama vile yeye ndiye anakwenda kuzitekeleza kwa fedha zake za mfukoni,
Halafu akiona kashindwa kutimiza ahadi zake atawaambia wananchi kuwa kuzitimiza hizo ahadi alizozitoa sio jukumu lake Bali ni la Serikali.
Na kwamba eti yeye hakusanyi Kodi hivyo wasimsumbue.
Unabakia kujiuliza kama alijua yote hayo hizo ahadi alizitoa ili iweje.
Awamu ya tano huwatumia RC, DC, makatibu tawala wakurugenzi kukwamisha maendeleo kwenye majimbo yaliyo chini ya wapinzani ili wananchi wawaone wapinzani hawafai hawaleti maendeleo...TL ameahidi kuzirudishia halmashauri mamlaka yake.
..kwasababu hali ilivyo sasa hivi tuna wabunge na madiwani ambao wamepokwa majukumu yao.
Mkuu mbona kuna miradi mingi tu imejengwa ndani ya majimbo ya wabunge toka upinzani.Ahadi huwaahidi vizuri lakini kwa upande wa ccm hujitahidi kuwatekelezea kiasi fulani hata kwa 60% lakini zile ahadi za wabunge wa upinzani hubuni mbinu za kuwakwamisha kwa kutumia halimashauri wakurugenzi ili mbunge wa upinzani aonekane hafai kabsa, huu ujinga umekuwa sana kwenye awamu hii ya tano zaidi huko nyuma kwa kikwete mkapa hawakuwa na shida hawakuwaingilia wakurugenzi kuwaamuru kuzuia maendeleo kwa makusudi kama sasa.
Mkuu ndiyo yale ya kupeleka ndege kumchukua Omondi wakati kuna wagonjwa wamekwama mikoani hawawezi kufika Muhimbili. Ndiyo yale ya kupeleka ndege Antananarivo kuchukua miti shamba..huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
Hahaaaa. Maghobe...huyo Mbunge kaonyesha dharau si kidogo. Sisi tupambane na hali zetu tu. Tule maghobe tuu.Mkuu mpuretamu hasa jena maghobe: Labda TRA NDO HUENDA WALIONGEZWA. Wengine wote kilio tu. Kuna mbunge mmoja huko kwetu alikuwa anasema, hata msiponichagua ninyi, wake zenu watanichagua. Magufuli hajali. Hata wafanyakazi wakimsusa, atatumia hata goli la mkono kupata ushindi. Si ile tume aliyoteua yeye ndiyo itakayotangaza??? Shida iko wapi hapa!!!