Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Fiesta linaendelea siyo!! Swaafi saana acheni vijana waserebuke ni muda wao huu.
 
Jua literemke liwachome Wale (Wapinzani )-Mama samia

Nyie mbwiga mnadanganywa kila Siku; Jiwe aliahidi NOAH kila mmoja wenu kutoka kwenye makinikia, mbona mko kimya hamumuulizi NOAH zenu ziko wapi na anakuja kuomba tena kula?
 
JPM hiyo ni sera au kula, tunataka kusikia sera na si vipasho vya kwenye vijora huko mitaanini mzee. Wewe unaonekana ni kiongozi dhaifu kuliko hata huyo uliyetaka kumpeleka kibra, na sasa yupo hai kabisa, Lissu alienda ulaya kupata matibabu na sio km unavyotoa sababu zako za kimbea, ingependeza tukisikia ukiomba msamaha kwa watanzania kwa kushindwa kuweka wazi mpaka sasa ni nani aliyehusika ktk tukio la kutaka kumuua Lissu, napia ulitakiwa kuomba radhi kwa kushindwa kuufanya mji wa dodoma kuwa salama kuliko mahali popote pale, maana tukio lilitokea dodoma, ambapo ni makao makuu ya nchi.
Risasi risasi risasi
Hamuwezi kwenda ikulu kwa hoja hiyo
 
Hii nchi bado kunawajinga wengi,hiki kizazi cha ccm nibalaa tupu
 
Badala ya kupewa noah ambazo zingesababisha vifo vingi, Rais Magufuli aliamua atupatie elimu bure, watoto wetu sasa wanaelimika
Nyie mbwiga mnadanganywa kila Siku; Jiwe aliahidi NOAH kila mmoja wenu kutoka kwenye makinikia, mbona mko kimya hamumuulizi NOAH zenu ziko wapi na anakuja kuomba tena kula?
 
Badala ya kupewa noah ambazo zingesababisha vifo vingi, Rais Magufuli aliamua atupatie elimu bure, watoto wetu sasa wanaelimika

Ingependeza kama watoto wangepewa elimu iliyo bora kuliko hii ya wakina Kayumba wanaokalia matofali!!! Mradi elimu?
 
Ndugu yangu chakaza acha kuishi kwenye kivuli cha uwongo unazitesa seli zako

Kiufupi hakuna mwaka rahisi km huu mchana Nimekuwa turiani Yaani watu hata hawataki kusikia habari za yule msaliti wa Nchi aliyepewa dola na Mabeberu aiuze Nchi

Sasa hao Turiani waliokuambia hawataki kusikia habari za msaliti (kama mnavyomwita wewe na mjombaako jiwe) waambie kule Mwanza, Arusha, Shinyanga na Serengeti wanamkubali hadi wanajisikia kurukwa akili.
godblessjlema1-___CElZXHvHZ5c___-.jpg
IMG-20200901-WA0040.jpg
IMG-20200901-WA0035.jpg
IMG-20200902-WA0010.jpg
 
Namuhurumia sana huyu mama (Cheupe kama amwitavyo magu) kwa kuwa makamu wa kipindi kimoja kisha kufurushwa kwenye makazi (mfano wa talaka) kwa makosa ambayo sio yake bali ya huyo bosi wake ambaye kwa sasa no kipindi kizuri cha kujisafisha lakini anamwaga upoloto mtupu.
Watu watakapokuwa wamechoka na nyimbo zilezile za Diamond, Kiba, Zuchu nk hakika atajibeba maana atakuta mikutano yake inahudhuriwa na viongozi wa ccm na vuvuzela watupuView attachment 1556560
Uwaziri wa malaika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lissu ndio amehongwa mabilion na Mabeberu ili auze Nchi
Akiuza nchi ni sawa tu,kwani nyie mbona mlishaiuza nchi hii kwa mikataba yenu mibovu mliyoingia sehemu mbalimbali toka tulipopata Uhuru?
 
Ndio raha ya Ccm Mkuu, anasimama kiongozi ananwaga sera, anasimama msanii anamwaga burudani
Maisha ndani ya Ccm ni raha
Fiesta linaendelea siyo!! Swaafi saana acheni vijana waserebuke ni muda wao huu.
 
CCM wanafanya kampeni za kisayansi zaidi.achana na wale viroboto kazi kulalama tu.
 
Ma mfano ya iflei ova,daraja jana yamewabeba pale furahisha daah inauma sana kuona hamna cha kupinga. Tafuten hoja dhabiti badala ya kuongelea vitu vinavyowanufaisha
Vipi mandege na Madaraja mbona hayawabebi tena wananchi wameona ya kawaida tu kwani hata mkolonii alijenga
 
JPM hiyo ni sera au kula, tunataka kusikia sera na si vipasho vya kwenye vijora huko mitaanini mzee. Wewe unaonekana ni kiongozi dhaifu kuliko hata huyo uliyetaka kumpeleka kibra, na sasa yupo hai kabisa, Lissu alienda ulaya kupata matibabu na sio km unavyotoa sababu zako za kimbea, ingependeza tukisikia ukiomba msamaha kwa watanzania kwa kushindwa kuweka wazi mpaka sasa ni nani aliyehusika ktk tukio la kutaka kumuua Lissu, napia ulitakiwa kuomba radhi kwa kushindwa kuufanya mji wa dodoma kuwa salama kuliko mahali popote pale, maana tukio lilitokea dodoma, ambapo ni makao makuu ya nchi.
Kabisa hili ni suala la msingi sana na wakati wa kupata jibu lake ndio huu vinginevyo magu atawajibika milele.
 
Back
Top Bottom