Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
2017 alikuwa Kigoma.Watu wamekwenda kumuona raisi wanaemsikiaga redioni mfano miaka mitano hajawahi fika maeneo mengi ya mkoa wa kigoma hakuna mpiga kura umoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2017 alikuwa Kigoma.Watu wamekwenda kumuona raisi wanaemsikiaga redioni mfano miaka mitano hajawahi fika maeneo mengi ya mkoa wa kigoma hakuna mpiga kura umoo
Maintaintance ni kitu kigumu sana kwa MtanzaniaUwanja umejaa vumbi hatari
Tunafeli wapi kutunza viwanja ....
Inakusaidia nini sasa hii? Ukiwa ccm akili huwa inakuwa ndogo kama uduvi.Leo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimeona uwanja wa Ziwa Tanganyika ukiwekwa zuria jekundu.
Ni utawala wa chama gani uliochelewesha kigoma?Mkoa ulikua haujaunganishwa na Barabara, Grid ya taifa leo vinafanyika wapinzani wanasema havina maana, kwa nini wasikataliwe!
Lissu ni kama mshehereshaji tu kwenye ngoma,ngoma ikiisha watu wanamsahauSubiri Lissu afike kwanza ndio tutajadili hili
Pinga pinga banaInakusaidia nini sasa hii? Ukiwa ccm akili huwa inakuwa ndogo kama uduvi.
POLe sana...Hatutakuja kupata rais mzalendo kama magufuli
. Kwnn mkuuPOLe sana...
Mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa Zitto, ulitofautina kidogo na wa Jana wa Magufuli. Na hapo Zitto hakuwa na wasanii. Kwa kigoma magu ameangukia pua labda kwa wizi sawa hapo atapita Ila hawezi.Ule ni ujumbe kuwa wana Kigoma wanataka maendeleo na siasa za kijinga za kupinga kila jambo, kususia, kudanganya, kuchochea na nk.
Hahahaaaaa ni kweli aisee alicho andika hakina maanaInakusaidia nini sasa hii? Ukiwa ccm akili huwa inakuwa ndogo kama uduvi.
. Kwann hujui maana ya ,,mbele ...na nyuma😀😀Hivi Magufuli hajui Kiswahili au anafanya makusudi. Anapouliza ni wangapi watanipa, huku mbele mtanipa? Na kule nyuma je?