mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Huna ujualo singida kuna alizet,vitunguu,GoldSingida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Karanga,mtama ,asali na saivi korosho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ujualo singida kuna alizet,vitunguu,GoldSingida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Mwaka huu mkipata hata wabunge watatu mshukuru Mungu. Habari ya nani atakuwa Rais wa inji hii nadhani una uhakika rohoni mwako ya kwamba ni JPM. Vinginevyo mioyo itawapanuka warembo wa UFIPAAsituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Kwa hakika hajui anachoongeaAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Mkuu unataka iongoze CHATO?Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Bado malofa tu umesahau kuweka kuku na mbuziHuna ujualo singida kuna alizet,vitunguu,Gold
Karanga,mtama ,asali na saivi korosho
Mzee kumbe imemwingia vizuri ukiona kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote ujue kinafaa na kinatufaaAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Cheto iko Geita migodi mikubwa ya dhahabu iko kule. Kule hawauzi vidumu vya mafuta ya alizeti kama SingidaMkuu unataka iongoze CHATO?
Kumbe unajua Tz hamna sehem masikini ila Sera mbovuBado malofa tu umesahau kuweka kuku na mbuzi
Mkuu haielewi sera ya majimbo vizuri ........!!Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Wewe ni nani? Una elimu gani? Una ufahamu wa unachokiongea kwa kiasi gani?Me mwenyewe naipinga sera ya majimbo.
Tanzania ya Lissu haitakuwa ya kijinga kiasi hicho. Kwa taarifa yako Singida inauwezo wa kuuza Alizeti na kuwa mzalishaji mkuu barani Afrika.Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Alizeti ziko kila mkoa Tanzania hata mikoa ya pwani ziko kibaoTanzania ya Lissu haitakuwa ya kijinga kiasi hicho. Kwa taarifa yako Singida inauwezo wa kuuza Alizeti na kuwa mzalishaji mkuu barani Afrika.
Hawezi kuipenda kama jiwe kwani inampunguzia u-mungu mtu autakao.Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Hadi Sasa CCM imetufanya maskini na tusipoamka utakula kwetu.Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Kwahiyo ukimaliza Sera zako unatulia zako barazani kufuatilia Sera za lisu zen unasamarize kesho unaamka nazo kuzijibu We zungumzia ndege zako na fly over mwache mwenzako azungumze chakwake We Tulia Sikiliza Tu Majimbo yako ya wakatolilki mbn usemi...[emoji3][emoji3][emoji3]Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Ni Mkapa peke yake ndio alikuwa na uwezo wa mdahalo.Kwenye ratiba ya NEC umeona kuna siku ya mdahalo... Tunakimbizana na muda, Tunatekeleza.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app