Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ila yeye Magufuli kuwabagua wengine kimaendeleo kisa hawajamchagua diwani au mbunge wa ccm tena anasema waziwazi kuwa maendekeo mtayasikia tu siyo kuwagawa watanzania?
 
Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Mwaka huu mkipata hata wabunge watatu mshukuru Mungu. Habari ya nani atakuwa Rais wa inji hii nadhani una uhakika rohoni mwako ya kwamba ni JPM. Vinginevyo mioyo itawapanuka warembo wa UFIPA
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Kwa hakika hajui anachoongea
 
Kama nchi ni ya demokrasia kwanini wananchi wasichague wenyewe ,siyo kila kitu anatupangia kama mwalimu wa zamu mwenye kiherehere
 
Tuta jenga fry over nchi nzima
kumbushodawson-20200921-0001.jpg
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Mzee kumbe imemwingia vizuri ukiona kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote ujue kinafaa na kinatufaa
 
Bado malofa tu umesahau kuweka kuku na mbuzi
Kumbe unajua Tz hamna sehem masikini ila Sera mbovu
Leo Egypt na Israel ni jangwa kabisa lakini wanazalisha zaidi ya hizo fertility land za morogoro na Katavi why this b'ce in Tanzania there Ccm
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Mkuu haielewi sera ya majimbo vizuri ........!!
 
Mbona wao CCM wameifanya Zanzibar kuwa jimbo la kwenda kupora
 
Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Tanzania ya Lissu haitakuwa ya kijinga kiasi hicho. Kwa taarifa yako Singida inauwezo wa kuuza Alizeti na kuwa mzalishaji mkuu barani Afrika.
 
Alizeti ziko kila mkoa Tanzania hata mikoa ya pwani ziko kibao
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Hawezi kuipenda kama jiwe kwani inampunguzia u-mungu mtu autakao.
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Hadi Sasa CCM imetufanya maskini na tusipoamka utakula kwetu.
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Kwahiyo ukimaliza Sera zako unatulia zako barazani kufuatilia Sera za lisu zen unasamarize kesho unaamka nazo kuzijibu We zungumzia ndege zako na fly over mwache mwenzako azungumze chakwake We Tulia Sikiliza Tu Majimbo yako ya wakatolilki mbn usemi...[emoji3][emoji3][emoji3]
Alisikika mlevi mmoja wa Heineken.
 
Back
Top Bottom