Bado mtoto huwezi elewaUnazungumzia mambo yanayoendelea nchi gani labda sielewi Mkuu?
Wametekwa wapi na wakina nani?
Nani kapigwa risasi na kapigwa na nani?
Mfanyabiashara yupi kaporwa fedha zake?
Mbona mnalialia Mkuu, tulieni dawa iingie.
JPM 2020- 2025
CCM USHINDI NI JADI