Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Unazungumzia mambo yanayoendelea nchi gani labda sielewi Mkuu?

Wametekwa wapi na wakina nani?

Nani kapigwa risasi na kapigwa na nani?

Mfanyabiashara yupi kaporwa fedha zake?

Mbona mnalialia Mkuu, tulieni dawa iingie.

JPM 2020- 2025
CCM USHINDI NI JADI
Bado mtoto huwezi elewa
 
Mmewazulumu nyavu zao mtaponea wapi
Msijifiche katika kuvunja sheria mkategemea huruma wewe ukavue na nyavu zisizoruhusiwa then uachiwe tuu?

JPM 2020-2025

CCM USHINDI NI JADI
 
Nilivyomuona Polepole leo kwenye press conference, nilijua lazima amewafokea kama watoto wadogo, na yeye ndio kamuagiza Polepole aje na lugha za jazba na matusi, kwenye kile kinachosemwa ni kujibu mashambulizi ya Lisu. Na mkulu kashajua anaongoza watu wanaopigania matumbo, hivyo anawatukana atakavyo maana anajuwa hawana ujanja nje ya ajira.
 
Bado mtoto huwezi elewa
Ni kweli kabisa na naomba nikiwa mkubwa nisiwe kama wewe maana kama hauwezi kuona maendeleo yaliyofanyika awamu hii ya 5 basi uelewa wako una walakini.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Tundu atafute pa kwenda sijui atakula nini, ruzuku zetu kwa chadema anazotumbua sasa hivi hakuna tena, uwakili kibali chetu hakuna, Ulaya viza hapati, anamuiga Fatuma, mwenzake mtoto wa raisi, ...
Nafasi ya kuwaumiza Tena watz haipo mwisho October
 
Unazungumzia mambo yanayoendelea nchi gani labda sielewi Mkuu?

Wametekwa wapi na wakina nani?

Nani kapigwa risasi na kapigwa na nani?

Mfanyabiashara yupi kaporwa fedha zake?

Mbona mnalialia Mkuu, tulieni dawa iingie.

JPM 2020- 2025
CCM USHINDI NI JADI
Nazungumzia Tanzania.
Waliotekwa ni Azory Gwanda, Ben Saa8, Mo, Ney, n.k.

Wafanyabiashara wa forex waliporwa fedha zao na John.

Lisu alipigwa risasi na John ndiyo maana akakataza kumchangia, kumuombea na kumtibu na ubunge akamvua.

Usisahau Nape alitolewa risasi na John hadharani.

Ndiyo maana uchaguzi huu hapendwi nchi nzima.
 
Bwana yule amelitafuta na atalipata chama kumfia mkononi mwake sababu dharau kiburi na kuua wapinzani wapi Ben wapi Azory wamarekani wanajua yote wanasubiri muda tu ....ref Noriega saga !!! Yajayo yanafurahisha
Wewe nae kubwajinga kweli hao WAMERAKANk Ndio baba zetu!??
 
Nazungumzia Tanzania.
Waliotekwa ni Azory Gwanda, Ben Saa8, Mo, Ney, n.k.

Wafanyabiashara wa forex waliporwa fedha zao na John.

Lisu alipigwa risasi na John ndiyo maana akakataza kumchangia, kumuombea na kumtibu na ubunge akamvua.

Usisahau Nape alitolewa risasi na John hadharani.

Ndiyo maana uchaguzi huu hapendwi nchi nzima.
Kama una ushahidi kwanini usifungue kesi au ndo story za kwenye ghahawa?

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Scenario zipo tofauti hapa hatuna minority rule na pia hatuna Boers acha kupotosha una uhuru wa kuropoka utakavyo na kuishi utakavyo.

Acheni porojo Magufuli anatosha.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Amka unaota ndoto mbaya sana
 
Amka unaota ndoto mbaya sana
Samahani hivi katika akili zako unafikiri CHADEMA watashinda kabisaa?

Unajidanganya kama unawaza hivyo JPM atashinda kwa kishindo.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Samahani hivi katika akili zako unafikiri CHADEMA watashinda kabisaa?

Unajidanganya kama unawaza hivyo JPM atashinda kwa kishindo.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Sio Nafikiri! Huo ndo ukweli na uhalisia. Kama unabisha subiri uone. Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya muungano Tanzania 2020-2025
 
Kesi iende mahakama zipi? Hizi hizi ambazo majaji amewaweka mfukoni? Tutaelewana tu.
Mbona mkishinda kesi hizi kauli huwa hatuzioni jitokeze tuu maana huo ushahidi uliouweka hapa ni mzito sana, nenda mahakamani Mkuu.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Mwenyew alishasema huwa anawatukana na hawana la kumfanya

Back
Top Bottom