Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Magufuli keshamaliza kazi anaenda kumalizia kusafisha na kuondoa uchafu kidogo uliobaki.
Leo wanambeya wameamua kupiga deki barabara ili kuondoa nuksi za Lissu. Angalia mwenyewe.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa
Mbeya Msinichanyie Gongo Na Rubisi
Ukinichanganyia Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
😂😁😀😅😄😄😃😐😐
Unajua Ninyi Msiniharibie Mkutano Wangu
 
Nimeona mapokezi yake, inatubidi chadema tufanye namna ili kuokoa jahazi mbeya.
Kwahiyo mkutano mmoja ndio unaamua mshindi wa Mbeya mjini ilihali wamemuona miaka 5?

Magufuli hachaguliwi kwa kampeni zake bali kwa utendaji kazi wake wa kipindi hiki cha miaka 5!! So kma maisha ni magumu na hakuna ajira mkutano mmoja hauwezi okoa jahazi.

Once again unaonyesha ulivyo mnafiki alafu unajidai CHADEMA ili uonekane uko objective.
 
Dk MAGUFULI kesho anatua MBEYA Chadema matumbo moto
majidai yenu yanaenda kuzimwa kesho mbeya
Kama CHADEMA hawakupata matumbo moto akiwa Iringa na Mwanza basi jua kuwa uchaguzi umeshaisha. Huku kwenye msafara hali ni mbaya comred!
 
Kuanzia Igawa Hadi Igurusi naamini Magufuli atazomewa Sana.

Home boy hapo sae na mama John msiniangushe!

Oyaaaa Wana wa doksi kabwe na nzovwe fanyeni huyo mzee aondoke na simanzi hapo Mbeya.
Ila BAVICHA MNAAKILI ZA HOVYO SANA kwa hiyo akizomewa Lissu anashinda
 
Angekuwa anajiamini asijengekuja na mond plus ali kiba afu nasikia watu wametoka sumbawanga huko na wilaya zingine za mbeya wamebebwa kwenye mabasi, plus polisi leo walikuwa wengi balaa wanajipanga kwa ajili ya kesho.
 
Ila BAVICHA MNAAKILI ZA HOVYO SANA kwa hiyo akizomewa Lissu anashinda
Homeboy hawamkubali na hawampendi huyo kichwa nyundo!

2015 alizomewa,safari hii 'wana' wamejiapanga kumrushia mayai viza.

Chezea watoto wa nonde wewe?[emoji3577][emoji3577][emoji16]
 
One Term President

Uhuni sasa.......basi

Uhuni sasa........basi

Wizi wa kura sasa....... basi

Tukutane 28/10 wakati ambapo tutakesha tukilinda kula nchi nzima mpaka mtu atangazwe hata kwa wiki nzima.
Hahahahaha JPM baada ya mwaka 2025 tunamuongezea mihula miwili mbele.
 
Mwaka 2015 tayari watanzania walifanya majaribio ya kutoa fursa kwa kuwapa wabunge wa upinzani na kuwaamini lakini matokeo yake waliyaona.

Wengi wa wabunge wa upinzani hawakujadili maendeleo ya watu bali waliishia kujadili maslahi ya vyama vyao.

Katika uchaguzi huu wananchi walishachora mstari na wameiamini CCM na kamwe hawapo tayari kufanya majaribio tena.
 
Kudadeki mboga majani mnazid kupoteana mchezoni, bado kesho nyomi la mjini Moshi lazima mtapike nyongo.
 
Kudadeki mboga majani mnazid kupoteana mchezoni, bado kesho nyomi la mjini Moshi lazima mtapike nyongo
Leo tulimsubiri sana HAI, akakimbia kwa kuwa hakuna aliyekuwa tayari kumsikiliza.
 
John hajauwa watu? Hajateka watu? Hajapiga watu risasi? Hajawapachika kesi za uwongo wafanyabiashara? Hajawanyang'anya fedha matajiri?
JPM amechukua fedha za mafisadi na kujengea zahanati
 
Ahmed shabib analinda biashara zake lazima amuombee magufuli kura.
Hivi huyo anatokea nchi gani mana hatuna kabila hilo hapa Tanzania!! Eti Lisu atauza nchi !! !!
Inabidi hao wahindi waongezwe kwenye idadi ya makabila ya Tanganyika ili tusiwe na mamluki wa mabeberu wanaotumika kuuza rasilimali zetu.
Hata Wasomali kama bashe sio kabila mojawapo la Tanzania .
Wasomali nao waongezwe kwenye orodha ya makabila ya Tanzania.

Hatuwabagui ila tunapenda tuwe na haki sawa.
Huwezi kusema kuwa unampenda Mhindi wakati unamchukia mtanzania mwenzako anayeitwa nyani kule India. Huu ni unafiki!!

Tujenge misingi ya haki ili kila mtu awe huru sio huu Uhuru na usawa wa mabeberu waliojipanga kuitafuna nchi .

Mwaka huu ni kati ya mabepari walioko CCM na wanyongeni hao wanaomtaka wakili wa kuwatetea ili watendewe haki ,Tundu Lisu.
 
Sisi wa Kigoma tunapenda sana miziki yenye mivumo ya kikongo, kwa kuwa sasa mbali na siasa,CCM wanatuletea wasanii bure.

Nashauri wakija Kigoma sasa watuletee bendi,mimi napendekeza FM Academia,
 
Back
Top Bottom