Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”
Mbona hawafananii kibisa hata kujua kuposti kwenye Twitter na Instagram?
 
Mpaka Leo haijulikan yupo wap
IMG_20240423_235923_369.jpg
Leo hatujui yupo wap
IMG_20240426_192208_422.jpg
FB_IMG_1713806620208.jpg
 
Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa sita mwaka huu 2024 familia ilokuwa imefunga duka wakirudi nyumbani huko jijini dar es salam, wilaya ya ilala gongo la mboto (viwege kwa mpemba)
Wakati wanatembea dogo akachepuka pembeni kujisaidia ndio hajaonekana mpaka leo,
Walipofika nyumbani dogo hayupo,mbaya zaid dogo ni mgeni ana siku 3 toka atoke kigoma, na jina analolifahamu la mwenyeji wake sio jina wanalolifahamu wakazi wa huku,mfano jamaa maarufu kwa jina la kidevu wakati kwao maarufu kwa jila la amani huku viwege hakuna hata mmoja anemjua kwa jina la amanj
 
People said Magufuli should die to end these….
Magufuli is no longer…….! Where this coming from? Unknow people wasn’t Magufuli business? We hated him for no resons?
 
Anaitwa Alex Mendrad Mwalongo. ametoweka tangu tarehe 29/06/2024,

Alikuwa anatoka kimara tumboni kuelekea Tegeta.

Kwa yeyote atakae mwona, mawasiliano +255753115470.
20240707_144138.jpg
 
Msaada kijana huyu amepotea katika mazingila ya kutata nisha atakae muona piga sim

0717705785
20240707_234727.jpg
 
Mtoto amepotea anatokea mbeya anaitwa batto au ibu hayo ndyo majina aliyo taja yupo kwetu dar leo siku ya pili kwa atakae mtambua piga 0719516636
20240707_234925.jpg
 
Ndugu BERNARD JAMES MALALA mwenye umri wa miaka 67 ametoweka tangu tarehe 27/06/2024. Aliondoka nyumbani kwake Mbezi Louis (Mpigi Maghohe) tangu siku ya alhamisi mchana mpaka sasa hivi hajarudi.

Atakaye mpata tunaomba alipoti kituo chochote cha Polisi au: 0787260971
20240707_235126.jpg
 
AMEPOTEA ~ANATAFUTWA
JINA PETER MICHAEL MNUNI
JINSIA: MWANAUME
UMRI:68
MAKAZI YA KUDUMU: KIGOMA MJINI
KABILA:MUHA

Tunamtafuta baba yetu Peter Michael alipotea wakiwa na wenzie kwenye mkesha wa chako ni chako kwa mwamposa kawe jijini Dar Es Salam, mzee anatatizo la kupoteza kumbu kumbu/kusahau kwa yeyote atakaemuona awasiliane nasi kwa namba
0752513396/0755789087/0762998158


AU ATOE TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE

Hii ni picha yake
IMG-20240708-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom