Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa sita mwaka huu 2024 familia ilokuwa imefunga duka wakirudi nyumbani huko jijini dar es salam, wilaya ya ilala gongo la mboto (viwege kwa mpemba)
Wakati wanatembea dogo akachepuka pembeni kujisaidia ndio hajaonekana mpaka leo,
Walipofika nyumbani dogo hayupo,mbaya zaid dogo ni mgeni ana siku 3 toka atoke kigoma, na jina analolifahamu la mwenyeji wake sio jina wanalolifahamu wakazi wa huku,mfano jamaa maarufu kwa jina la kidevu wakati kwao maarufu kwa jila la amani huku viwege hakuna hata mmoja anemjua kwa jina la amanj