Ingekuwa enzi ya Jk mpaka muda huu ungesikia Sold sold sold,Dah ningekuwa na mpunga ningeuchukua huo mjengo,
 
Ml 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.

Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
 
Ml 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.

Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
Kwamba kabadili mawazo?
 
Ningekuwa na hela hata nisingejiuliza mara mbili. Eneo zuri, hali ya hewa nzuri nk.
 
Duh,
Yaani Chanika Nyumba iuzwe 340Mil??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…