RealEstate Agent
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 244
- 321
- Thread starter
- #101
Wew pita tuungoja nipite tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew pita tuungoja nipite tu
Kwamba kabadili mawazo?Ml 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.
Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
55mlMilioni 63 tu
Mkuu malizia 8 hiyo tufanye biashara... Watu watatue matatzo yao..55ml
55ml ndio mwisho wa bajeti yanguMkuu malizia 8 hiyo tufanye biashara... Watu watatue matatzo yao..
Njoo inbox tuyajenge
Kwamba ilikuajMl 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.
Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
KarbuuAhsante kwa taarifa...
Duh,Mjengo una eneo lenye ukubwa wa sqm 4000 (heka 1)
Ghorofa hili lipo Chanika Buyuni
Lina vyumba 4 vyote ni master rooms
Kuna servant quarter (nyumba ndogo ya pembeni)
Bei ni milioni 340 tu (340,000,000)
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677 818283
View attachment 1724803View attachment 1724804View attachment 1724805View attachment 1724806View attachment 1724807View attachment 1724808View attachment 1724809View attachment 1724810View attachment 1724811View attachment 1724812View attachment 1724813View attachment 1724814
Ilitakiwa iuzwe bei gani?Duh,
Yaani Chanika Nyumba iuzwe 340Mil??
Weee unahela au unataka kumsumbua kamanda tuChukua 110mil.
Njoo inbox pesa ipo
Less than 200Mil Babu.Ilitakiwa iuzwe bei gani?