INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Ingekuwa enzi ya Jk mpaka muda huu ungesikia Sold sold sold,Dah ningekuwa na mpunga ningeuchukua huo mjengo,
 
Ml 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.

Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
 
Ml 160 ni bei poa sana kwa hiyo nyumba.
Wenye nazo changamkieni fursa.

Ila kuna jamaa mmoja humu jamvini aliuza nyumba yake..baadae akaja kumwomba radhi mnunuzi wake.
Kwamba kabadili mawazo?
 
Ningekuwa na hela hata nisingejiuliza mara mbili. Eneo zuri, hali ya hewa nzuri nk.
 
Mjengo una eneo lenye ukubwa wa sqm 4000 (heka 1)
Ghorofa hili lipo Chanika Buyuni
Lina vyumba 4 vyote ni master rooms
Kuna servant quarter (nyumba ndogo ya pembeni)
Bei ni milioni 340 tu (340,000,000)
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677 818283

View attachment 1724803View attachment 1724804View attachment 1724805View attachment 1724806View attachment 1724807View attachment 1724808View attachment 1724809View attachment 1724810View attachment 1724811View attachment 1724812View attachment 1724813View attachment 1724814
Duh,
Yaani Chanika Nyumba iuzwe 340Mil??
 
Back
Top Bottom