Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wananchi wamejitokeza mwa Wingi kujiunga na jeshi la Ukraine.
Your browser is not able to display this video.
 
Nilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.
 
Wananchi wamejitokeza mwa Wingi kujiunga na jeshi la Ukraine.
View attachment 2159833
hhao wanajitokeza sio kwamba wanapenda, wamepigwa marufuku kutoka nje ya nchi, boda zimefungwa kwa ajili yao, sasa kuliko kukaa bila silaha si bora nipange foleni nichukue silaha bora nishambulie adui, au kuliko kukaa ufe kama kibudu si bora ukafie kwenye battle? ndicho kinachofanyika hapo. ila kungekuwa na mwanya hata kidogo tu wa kutoka nje ya nchi, nakuhakikishia wote hao wangekimbia mbizo hizo ambazo hata hawajawahi kukimbia maisha yao yote.
 
Nilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.
imagine kama ukraine angekuwa na vifaa bora vya anga? urushi angeshakalishwa hadi sasa, ndio maana rais comedian amekuwa akiomba ndege na silaha za anga kwasababu anajua kwenye ground ameshawameneji na kuwaumiza sana warusi. huu ndio ukweli mchungu.
 
Tos-1A Multi-Barrel Rocket Launcher (MLRA) ya Ukraine.
Your browser is not able to display this video.
 
ila naamini ukraine wengi walishapita jeshini (national service yao) kwa lazima ndio wakawa raia. kwasababu sio rahisi kumpa zana hizo au hata bunduki tu mtu ambaye hajawahi kupitia mafunzo aende vitani. ingekuwa ni kusacrifice raia. wamepambana sana hii vita na kwa kipindi kifupi sana wameteketeza zana na watu wengi wa russia, hata wakipigwa lakini wameonyesha uanaume. tofauti kabisa na vita alizopigana marekani,ulikuwa mteremko na marekani hajawahi kusuffer loss kubwa namna hiyo kwa kipindi kifupi. ningekuwa mimi ndio russia ningetumia silaha nzitu tu ili kumaliza biashara mapema, anavyoendelea kuwachelewesha wanamuaibisha na kumdhuru mno.
 
Tarehe 01 Machi 2022, silaha aina ya NLAWs na Javelins ziliwasili Ukraine. Hizi silaha kazi yake ni kuteketeza Vifaru vya Urusi. Next Generation Light Anti-tank Weapon(NLAW)
View attachment 2158122View attachment 2158123
mbona wanaficha sura?,hawajiamini?
Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box
.https://twitter.com/igorsushko/status/1505949758354907138?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1505949758354907138%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fdefence.pk%2Fpdf%2Fthreads%2Frussia-ukraine-war-news-and-developments.706984%2Fpage-1377
 
Sema hawa ukraine walicho niudhi kufanya ubaguzi wa rangi kwa kuwa isolate waafrika kipindi cha uhamisho
ubaguzi wa rangi upo eneo lote la former ussr. Urusi sasa kwa ubaguzi wa rangi bora hata Ukraine. though serikali inawajali waafrika ila mtaani raia wanakuona nyani kabisa. they are not used to black people as much as western countries are. unajua wazungu wa magharibi ni wabaguzi lakini bado wanaamini mioyoni mwao kwamba sisi ni wanadamu tu kama wao, na wamekuwa exposed kwa waafrica for years during colonialism, na tumezaliana nao sana. tofauti na russia ambayo haijawahi kutawala africa, watu weusi huko urusi na ukraine (former ussr yote) ni nadra na wala tusiwalaumu, ni kitu kigeni kwao lazima tu watakuwa biased against.
 
Hapa ndipo unapoona umuhimu wa JKT
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-90A kikiwa nyang'anyang'a
 
Belarus ndo kuna Mgogoro Mkubwa. Wananchi wanaiunga Mkono Ukraine, lakini utawala akiwemo rais wanaiunga Mkono Urusi.

Hawa wamepewa Vifaa vya jeshi Wapeleke Ukraine, Wameamua kifunga reli. Wamefika huko katikati wakalizima na kuanza kucheza Draft. Siku ya Nne sasa hawajafika waendako wana hawarusi walipotoka. Au wameogopa kushambuliwa?

The head of the Ukrainian Railways Alexander Kamyshin confirmed that there is no railway connection between Ukraine and Belarus "thanks to Belarusian railway workers". They've indeed launched what they called "a railway war" with many acts of sabotage to stop Russian equipment
 
Urusi walipovamia Kyiv Oblast, Jeshi la kujihami la Ukraine, liliweza kuteka Vifaru aina ya T-80BVM tank, na kuharibu 3x BMP-2.
 
Karibu na Mji Brovary ulio kasikazini mwa Kyiv. Jeshi la Urusi lilikutana na moto tarehe 21 Machi 2022
 
Tarehe 21 Machi 2022: Trophy Tiger ya Urusi, itafika Kyiv imechoka sana. Ukraine sehemu nyingine wanatega Misumaru barabarani. Achana hii misumari ya kwenye bati zetu🤣🤣 pia wanaweka vizuizi barabarani. Mkishuka kutoa vizuizi mumekwisha.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…