Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,167
1.Wapo wanajeshi watiifu na wanapigana 100% lakini ndo hao wameshakufa 30,950+ up to June 2022 tangu uvamizi Feb.2022.Urusi hawamuelewi Putin. Bunge lilipitisha mpango wa kufanya Operation Ukraine ambayo ilishindwa. Kuficha aibu ikabidi wapigane Vita kamili ambayo bunge haikubariki. Ndo maana wanasema hii ni Vita vya Putin.. Mwisho wa siku Urusi itatumia hela tena kuijenga Ukraine kwa mjibu wa sheria za Kimataifa. Hii Vita Mrusi hatoboi sababu wamegawanyika.
2. Wapo wanajeshi "mgomo baridi" wanaodai silaha zao ni duni ukilinganisha na zile za wa-Ukraine
3. Lipo Jeshi linafanana-fanana kama Guerilla fighters lakini ni moto wa kuotea mbali na lipo ndani ya nchi ya Urusi - LEGION
4.Wapo wananchi wengi hawaungi mkono hii vita kwani hawaoni sababu za msingi uwepo wa vita hiyo wala manufaa yake.
5. Wapo wafanyabiashara na Wasomi wakubwa ambao biashara na shughuli zao zimeathirika kutokana na uwepo wa hii vita - Hawaitaki kabisa vita hii.
JUMLA = Mwadui wa Putin 👆
Hitimisho: Hawa wote(1-5)+ Wapiganaji/ Majeshi ya Ukraine walio mstari wa mbele + Putin mwenyewe afya-mgogoro + Nchi za nje Wanaoiunga mkono Ukraine(kwa Hali na Mali) + Vikwazo vya ki-uchumi ni changamoto KUBWA sana kwa Putin. Cjui kama atamudu. Tusubiri muda utasema.🤯