Madikteta ni wa ajabu sana.Hakika Warusi ni vilaza kweli-kweli. Yaani walikuwa hawajui kwamba vitani kuna watakaokufa na watahifadhiwa namna gani? Hawana utu kabisa au wanathamini mtu akiwa hai? Inasikitisha - Afande kwenye Rambo!!! Tz hamnaga hiyo kitu.
Mkuu, usijifunge akili. Tumia hii Vita kujifunza na kujua jinsi Silaha zinafanya kazi. Achana na ubishi wa kijinga. Hii thread tunaelimishana si kubishana. Tafuta thread za Vita ya Ukraine za kubishana.Hii VITA unaiona peke yako mkuu? Yaan vifaa vya kizamani afu wachukue 20% ya Eneo??
Are you sane???
Hata uwe shimoni ule mzigo unafika mapema tu kwenye target.Hii imenishangaza kumbe hizo Javelin unaset tu halafu yenyewe inafuata target?Je ni lazima kifaru uwe unakiona?yaani kisiwe kimekingwa na kitu kama mti au mlima?
Kwa nchi Kama Russia na vitisho walivyokuwa wanaamini walitakiwa wawe na asilimia 90% ya nchi Hadi sasa kwa wao kumiliki asilimi 20% hiyo ni failure tayari.Hii VITA unaiona peke yako mkuu? Yaan vifaa vya kizamani afu wachukue 20% ya Eneo??
Are you sane???
SafiMkuu, usijifunge akili. Tumia hii Vita kujifunza na kujua jinsi Silaha zinafanya kazi. Achana na ubishi wa kijinga. Hii thread tunaelimishana si kubishana. Tafuta thread za Vita ya Ukraine za kubishana.
Wiki ya Kwanza ya Vita Mrusi alifika KM 10 kutoka Mji Mkuu wa Ukraine Kyiv. Ila sasa hivi karudishwa nyuma Km 595.
Ndani ya Siku 20 za Kwanza Urusi walifika ndani ya Mikoa 13 lakini sasa hivi wapo ndani ya Mikoa Minne kama sio Mitatu.
Urusi kapoteza Vifaa, Mifumo na Wanajeshi wengi. Inakadiliwa Wajeshi zaidi ya 35 elfu wa Urusi wamefia Ukraine. Hapa hatujahesabu wasiojulikana walipo. Hii ni idadi ya maiti zilizoonekana
Wakati Ukriane imepoteza Major Generals 2, Urusi imepoteza Majors Generals 12. Ngoja nikuache uendelee kusikia unachotaka kusikia.
Mm nawaza ni muda muafaka wa kuanza kuishambulia RussiaHata uwe shimoni ule mzigo unafika mapema tu kwenye target.
Check Hii illustration hapaView attachment 2254601
Hata Ukraine washaiona hiyo potential na USA anataka kutoa mizigo ya kutandika masaa marefu, Russia anapiga mikwara USA anasema Mimi nishatoa endorsement ya silaha kupelekwa Ukraine.Mm nawaza ni muda muafaka wa kuanza kuishambulia Russia
Mbona huo mpango Upo tayari. Tukimalizana Ukraine, tunaanza kuwasaidia LEGION kupigania nchi yao. Tutaanza na Mkoa wa Belgorod sababu yumeshaulegeza sana.Mm nawaza ni muda muafaka wa kuanza kuishambulia Russia
Kongole mkuu kwa uchambuzi na ufafanuzi murwa kabisa.🙂Silaha Mrusia ana silaha nyingi tu kizamani lakini sio deadly, digital na advanced Kama za magaharibi Hadi muda huu Mrusia anazishangaa Javelin na Howitzer zinavyomtwanga anashangaa kuona silaha za mfumo wa RPG ambazo ni digital yaani unaset longitude na latitude na mzigo una thermol sensor za kusense tanks za Mrusia then unafyatua Bomu ambalo lazima kifaru kichanike chanike Kama tissue.
March 4 javelin zilipiga mabomu 300 na vifaru 293 vya Mrusia viligeuka Chuma chakavu.
Mrusi mwenyewe anashangaa na hakutaajia Kama atakutana na silaha digital maana yeye bado Yuko analogy alichonacho yeye ni manuclear tu ambayo hawezi kuyatumia kwa Sasa maana kila mtu anayo na ukilitandika Hadi China anakuchenjia sababu na yeye bado anataka kuishi. Ubomoe Dunia kwa sababu ya ukoro wako?
Lastly, Mrusia ana masilaha mengi lakini yote makubwa jinga.. hana silaha ya infantry anayosumbua nayo..Hana!
Javelin imemfanya akakimbua Kiev Kama kimada. Anatwangwa na silaha ndogo ya kubeba begani lakini anti tank missile inasafiri unganisha viwwnja vya mpira hata 30. Ambayo ni almost 1.6 mile. Mamaee.
Lazma ukimbie mji. Unacheza na Mzungu wa Ulaya alietawala Dunia. Utaita Maji mma.
Hii teknolojia nomaHata uwe shimoni ule mzigo unafika mapema tu kwenye target.
Check Hii illustration hapaView attachment 2254601
Mizigo hiyo itakapotumiwa "Full throttle" Mrusi sijui atauficha wapi uso wake maana si kwa yale majigambo ya mwanzo.Dah!Javelin ni most advanced, expensive and sophisticated digital anti tank missile in the world ambayo unaweza beba hata wewe begani tu lakini madhara yake na kishindo chake ni Cha kustaajabisha.
Ukiondoa Javelin ya USA Kuna mzigo mwingine unaitwa Israel spike wa Israeli. Ndio deadly anti tank missile in the world.
Hata ulete vifaru 100 vyote vinafwekwa. Ndio maana kumuacha adui auteke na aushikilie mzigo ni hatari na kwa gharama yeyote inabidi urejeshwe.
Ukraine wanaulinda saana na wanaufurahi zaidi sababu unaweza kupiga hata mile 1.6 mile kwa shabaha ile ile Kama huko na adui papo kwa papo sababu ya thermol sensor zake.
Mzinga wa nyuki haukumbatiwi. Putin ameshajilaumu sana kuhusu alichofanya kwa Ukraine.Hata Ukraine washaiona hiyo potential na USA anataka kutoa mizigo ya kutandika masaa marefu, Russia anapiga mikwara USA anasema Mimi nishatoa endorsement ya silaha kupelekwa Ukraine.
Ikifikia hatua hiyo Ukraine atakuwa anavumurusha mzigo akitokea Kyiv Hadi Moscow. Potelea pote.
Heshima itapatikana tu!
Mkuu 20 haifiki. Hata ukiangalia kwenye ramani. Zelensky ni Mwansiasa anaongea akiwa na Malengo yake ili aongezewe Silaha. Ukitaka taarifa nzuri msikilize Mkuu wa Majeshi au Mshauri wa Rais Oleksiy ArestovychKwa nchi Kama Russia na vitisho walivyokuwa wanaamini walitakiwa wawe na asilimia 90% ya nchi Hadi sasa kwa wao kumiliki asilimi 20% hiyo ni failure tayari.
Na 20% hiyo bado Ukraine wanaipambania kuirudisha.