Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sema Urusi wakitekwa wanakua wapole hadi wanatia huruma. Utafikiri kuku wa kisasa. Hawa wangekutana na Azov, sasa sisimizi wangekua wanaingilia puani na kutokea sikioni. Vivamizi tumevipa lifti
IMG_20220608_181515_801.jpg
IMG_20220608_181512_409.jpg

Hii VITA unaiona peke yako mkuu? Yaan vifaa vya kizamani afu wachukue 20% ya Eneo??
Are you sane???
Mkuu, usijifunge akili. Tumia hii Vita kujifunza na kujua jinsi Silaha zinafanya kazi. Achana na ubishi wa kijinga. Hii thread tunaelimishana si kubishana. Tafuta thread za Vita ya Ukraine za kubishana.

Wiki ya Kwanza ya Vita Mrusi alifika KM 10 kutoka Mji Mkuu wa Ukraine Kyiv. Ila sasa hivi karudishwa nyuma Km 595.

Ndani ya Siku 20 za Kwanza Urusi walifika ndani ya Mikoa 13 lakini sasa hivi wapo ndani ya Mikoa Minne kama sio Mitatu.

Urusi kapoteza Vifaa, Mifumo na Wanajeshi wengi. Inakadiliwa Wajeshi zaidi ya 35 elfu wa Urusi wamefia Ukraine. Hapa hatujahesabu wasiojulikana walipo. Hii ni idadi ya maiti zilizoonekana

Wakati Ukriane imepoteza Major Generals 2, Urusi imepoteza Major Generals 12. Ngoja nikuache uendelee kusikia unachotaka kusikia.
 
Huyu ni Azov akiwa naua Warusi. Azov wana hasira sana baada ya Wenzao kukamatwa. Wakikamata Mrusi hawamuachi, awe mtoto, Mzee au Bibi. Nadhani ni kiapo chao nahisi. Hapa anatumia machine gun MG3 ya Ujerumani.
 
Walioko Vitani, unaambiwa
CAESAR self-propelled howitzer za Ufaransa ni habari nyingine. Zinapiga km 42 hadi 50. Zipo Kidigitali zaidi. Yaani ukituma kitu kinatua palepale. Sema walitupa chache.
284534264_326970942949324_8773175232752140465_n-696x464.jpg
20220608_185316.jpg
20220608_185457.jpg
20220608_185515.jpg

20220608_185614.jpg
 
Hii VITA unaiona peke yako mkuu? Yaan vifaa vya kizamani afu wachukue 20% ya Eneo??
Are you sane???
Kwa nchi Kama Russia na vitisho walivyokuwa wanaamini walitakiwa wawe na asilimia 90% ya nchi Hadi sasa kwa wao kumiliki asilimi 20% hiyo ni failure tayari.

Na 20% hiyo bado Ukraine wanaipambania kuirudisha.
 
Mkuu, usijifunge akili. Tumia hii Vita kujifunza na kujua jinsi Silaha zinafanya kazi. Achana na ubishi wa kijinga. Hii thread tunaelimishana si kubishana. Tafuta thread za Vita ya Ukraine za kubishana.

Wiki ya Kwanza ya Vita Mrusi alifika KM 10 kutoka Mji Mkuu wa Ukraine Kyiv. Ila sasa hivi karudishwa nyuma Km 595.

Ndani ya Siku 20 za Kwanza Urusi walifika ndani ya Mikoa 13 lakini sasa hivi wapo ndani ya Mikoa Minne kama sio Mitatu.

Urusi kapoteza Vifaa, Mifumo na Wanajeshi wengi. Inakadiliwa Wajeshi zaidi ya 35 elfu wa Urusi wamefia Ukraine. Hapa hatujahesabu wasiojulikana walipo. Hii ni idadi ya maiti zilizoonekana

Wakati Ukriane imepoteza Major Generals 2, Urusi imepoteza Majors Generals 12. Ngoja nikuache uendelee kusikia unachotaka kusikia.
Safi
 
Mm nawaza ni muda muafaka wa kuanza kuishambulia Russia
Hata Ukraine washaiona hiyo potential na USA anataka kutoa mizigo ya kutandika masaa marefu, Russia anapiga mikwara USA anasema Mimi nishatoa endorsement ya silaha kupelekwa Ukraine.

Ikifikia hatua hiyo Ukraine atakuwa anavumurusha mzigo akitokea Kyiv Hadi Moscow. Potelea pote.

Heshima itapatikana tu!
 
Mzigo huu unaitwa MBRL system. Na hilo gari laitwa Tatra. Huu mzigo tulipewa na Jamhuri ya Czech.
 
Silaha Mrusia ana silaha nyingi tu kizamani lakini sio deadly, digital na advanced Kama za magaharibi Hadi muda huu Mrusia anazishangaa Javelin na Howitzer zinavyomtwanga anashangaa kuona silaha za mfumo wa RPG ambazo ni digital yaani unaset longitude na latitude na mzigo una thermol sensor za kusense tanks za Mrusia then unafyatua Bomu ambalo lazima kifaru kichanike chanike Kama tissue.

March 4 javelin zilipiga mabomu 300 na vifaru 293 vya Mrusia viligeuka Chuma chakavu.

Mrusi mwenyewe anashangaa na hakutaajia Kama atakutana na silaha digital maana yeye bado Yuko analogy alichonacho yeye ni manuclear tu ambayo hawezi kuyatumia kwa Sasa maana kila mtu anayo na ukilitandika Hadi China anakuchenjia sababu na yeye bado anataka kuishi. Ubomoe Dunia kwa sababu ya ukoro wako?

Lastly, Mrusia ana masilaha mengi lakini yote makubwa jinga.. hana silaha ya infantry anayosumbua nayo..Hana!

Javelin imemfanya akakimbua Kiev Kama kimada. Anatwangwa na silaha ndogo ya kubeba begani lakini anti tank missile inasafiri unganisha viwwnja vya mpira hata 30. Ambayo ni almost 1.6 mile. Mamaee.

Lazma ukimbie mji. Unacheza na Mzungu wa Ulaya alietawala Dunia. Utaita Maji mma.
Kongole mkuu kwa uchambuzi na ufafanuzi murwa kabisa.🙂
 
Javelin ni most advanced, expensive and sophisticated digital anti tank missile in the world ambayo unaweza beba hata wewe begani tu lakini madhara yake na kishindo chake ni Cha kustaajabisha.

Ukiondoa Javelin ya USA Kuna mzigo mwingine unaitwa Israel spike wa Israeli. Ndio deadly anti tank missile in the world.

Hata ulete vifaru 100 vyote vinafwekwa. Ndio maana kumuacha adui auteke na aushikilie mzigo ni hatari na kwa gharama yeyote inabidi urejeshwe.

Ukraine wanaulinda saana na wanaufurahi zaidi sababu unaweza kupiga hata mile 1.6 mile kwa shabaha ile ile Kama huko na adui papo kwa papo sababu ya thermol sensor zake.
Mizigo hiyo itakapotumiwa "Full throttle" Mrusi sijui atauficha wapi uso wake maana si kwa yale majigambo ya mwanzo.Dah!
 
Kuna hii Silaha inaitwa Stugna anti-tank missile. Naikubali sana.. Inatumia Remote. Silaha inakuwa na Operator alipo ni sehemu mbili tofauti. Yeye anacommand kwa kutumia screen
 
Hata Ukraine washaiona hiyo potential na USA anataka kutoa mizigo ya kutandika masaa marefu, Russia anapiga mikwara USA anasema Mimi nishatoa endorsement ya silaha kupelekwa Ukraine.

Ikifikia hatua hiyo Ukraine atakuwa anavumurusha mzigo akitokea Kyiv Hadi Moscow. Potelea pote.

Heshima itapatikana tu!
Mzinga wa nyuki haukumbatiwi. Putin ameshajilaumu sana kuhusu alichofanya kwa Ukraine.
 
Kwa nchi Kama Russia na vitisho walivyokuwa wanaamini walitakiwa wawe na asilimia 90% ya nchi Hadi sasa kwa wao kumiliki asilimi 20% hiyo ni failure tayari.

Na 20% hiyo bado Ukraine wanaipambania kuirudisha.
Mkuu 20 haifiki. Hata ukiangalia kwenye ramani. Zelensky ni Mwansiasa anaongea akiwa na Malengo yake ili aongezewe Silaha. Ukitaka taarifa nzuri msikilize Mkuu wa Majeshi au Mshauri wa Rais Oleksiy Arestovych
 
Mwenendo wa Vita. Nyekundu ni Urusi na njano ni Ukraine
 
URUSI: Moto unawaka Mjini Zagorsk ni kwenye Mtambo wa Optical-Mechanical. Ni karibu kabisa na Moscow. Mtambo unatengeneza Vifaa vya Jeshi. LEGION ni kitu kingine kabisa. Wamejipenyeza kila sehemu.
 
Back
Top Bottom