figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,401
Crimea bado sana kule vita itakuwa ngumu upande wa Ukraine labda wapewe F16Hii vita Urusi asiposalenda atapata hasara kubwa Sana .Baada ya hiki kisiwa kukombolewa nasikia kinachofuata ni Crimea .Donabos muda sio mrefu inakombolewa
Huwezi amini Urusi kaanza kulegea. Wiki hii kapoteza sana. Na sasa zinaingia Silaha kubwa za NATO na wataalam wa kuzitumia wanaendelea kuletwa.Crimea bado sana kule vita itakuwa ngumu upande wa Ukraine labda wapewe F16
Kuna training kibao zaendelea fanyika. Wiki 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwa URUSIHuwezi amini Urusi kaanza kulegea. Wiki hii kapoteza sana. Na sasa zinaingia Silaha kubwa za NATO na wataalam wa kuzitumia wanaendelea kuletwa.
Upo sahihi. Sasa hivi Urusi wanajilinda wasinyang'anywe maeneo walioyashika. So Ukraine sasa ndo yashambulia... Soon wataanza kirudi nyuma.. Wiki hii hawajasogea kabisa. Hakina kikosi kilichoadvance zaidi ya Km 10.Kuna training kibao zaendelea fanyika. Wiki 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwa URUSI