Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Washaanza, hii vita haitaishia Ukraine tu. Kumbe Urusi Mashariki ni Ulaya. Hadi hapo kwenye Milima. Urusi waliichukua kibabe so ibabidi irudi.
20220702_073405.jpg
 
Wale wasioamini kama Viongozi wa jeshi la Urusi Wanapukutika, naweka Picha za Viongozi wa Juu wa Kijeshi wa Urusi wanaendelea kufa Ukraine. Mtu kama huyu hadi afe, jua Frontline wake wameisha. Hawa ni watoa amri jeshini. Wengi ni colonels, lieutenant na Makapteni.
20220702_074619.jpg
20220702_074615.jpg
20220702_074601.jpg
20220702_074553.jpg
20220702_074542.jpg
20220702_074528.jpg
20220702_074517.jpg
20220702_074449.jpg
20220702_074427.jpg
20220702_074408.jpg
20220702_074402.jpg
20220702_074358.jpg
20220702_074351.jpg
20220702_074344.jpg
20220702_074335.jpg
20220702_074304.jpg
20220702_074317.jpg
20220702_074311.jpg
20220702_074253.jpg
20220702_074259.jpg
20220702_074248.jpg
20220702_074243.jpg
20220702_074232.jpg
20220702_074238.jpg
20220702_074227.jpg
20220702_074221.jpg
20220702_074217.jpg
20220702_074206.jpg
20220702_074155.jpg
20220702_074148.jpg
 
Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilishambulia njia za reli na maghala ya risasi mkoani Donetsk

 
Jana Kherson, Urusi walitembezewa Kichapo hadi basi
 
Kuna training kibao zaendelea fanyika. Wiki 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwa URUSI
Upo sahihi. Sasa hivi Urusi wanajilinda wasinyang'anywe maeneo walioyashika. So Ukraine sasa ndo yashambulia... Soon wataanza kirudi nyuma.. Wiki hii hawajasogea kabisa. Hakina kikosi kilichoadvance zaidi ya Km 10.
 
🤣🤣🤣🤣 Ila Frontline wanajiamini sana. Wanapenda kazi yao
 
Back
Top Bottom