figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,661
Afrika bado twapigana kishamba.KUNA UMUHIMU WA KUWA NA VIFAA VYA KISASA KWENYE JESHI LETU, NA HIYO ITAWEZAKANA KWA KUFUNGA BAADHI YA KAMBI , MAANA TUNA KAMBI NYINGI SANA ZA KIJESHI
Urusi hana Mziki wowote. Si anajilinganisha na Marekani? Aache kuonea Dagaa bali aonee Kambale. Kumbe Marekani mbabe wenu?Afrika bado twapigana kishamba.
Mziki wa Urusi achana nao, Ukraine amshukuru USA na washirika wake vinginevyo bendera za USSR zingekuwa zapepea
Javelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.Russia akilipua Himars atafanya sherehe, ila hadi sasa inabidi US aingie kazini kuanza tengeneza Himars maana demand itapaa.
Kwa sasa Javelin ni kama zimetulia, maana kazi yake ishaisha
Nimesoma mahali kwa sasa kaanza chukua wafungwa na kuwapeleka frontUrusi hana Mziki wowote. Si anajilinganisha na Marekani? Aache kuonea Dagaa bali aonee Kambale. Kumbe Marekani mbabe wenu?