Na 100% US ndo anatoa intel na coordinates za wapi pakupiga, maana hataki kwa namna yoyote ile himars idakwe au ilipuliweJavelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.
HIMARS kwa Sasa ndo ziko mzigoni. USA hawezi kufail Hii task ndogo tu.
Wale jamaa wana intelligence ya hali ya Juu. Ndo maana Urusi anabaki anashangaa imekuaje. Ndo walisaidia intelligence ya Kisiwa cha Snake. Na ndio walishauri hii Vita ili iishe, Crimea inatakiwa irudi Ukraine.Na 100% US ndo anatoa intel na coordinates za wapi pakupiga, maana hataki kwa namna yoyote ile himars idakwe au ilipuliwe
Yaani USA ni noma ana silaha za ajabu alafu kila silaha ina kazi yake kwenye battle field duuh am kweli USA ni super power wazee jamaa waNajua sana san USA ndo jeshi la dunia hutaki kataa anakuletea aina ya SILAHA kutokana na wewe unavyokujaJavelin Sasa hivi zinapumua zile zilikuwa kwa ajili ya kuchana vifaru vinavyo advance Frontline.
HIMARS kwa Sasa ndo ziko mzigoni. USA hawezi kufail Hii task ndogo tu.
Kwenye Vita mtu unajifunza mengi. Kumbe haya majani yanaweza tumika kama mtego kwa adui. Yakikunasa ukayavuta ni kama unavuta fuse ya bomu. Hivyo unapotembea kuwa makini jani lisikuguse sababu linashika kwenye nguo kama ndoano. Hii TIP itawasaidia wanajeshi wetu wanaoenda kupambana Congo.
Vilevile unaweza kumtega adui kwa haya majani
Haya ndo madhara ya kufuata nyayo za adui, anaacha mitego njiani
View attachment 2283265

Naona US ana lengo la Urusi kuwa Zimbabwe...Wale jamaa wana intelligence ya hali ya Juu. Ndo maana Urusi anabaki anashangaa imekuaje. Ndo walisaidia intelligence ya Kisiwa cha Snake. Na ndio walishauri hii Vita ili iishe, Crimea inatakiwa irudi Ukraine.
Zipoingilia hana uwezo wa kupigaHivi inakuaje Taifa kubwa kama Urusi, Silaha zinatoka Marekani hadi zinafika Ukraine bila yeye kujua? Kwanini hazilipua kabla hazijafika? Jibu ni hana uwezo na vifaa vyake ni Duni
View attachment 2285136View attachment 2285137View attachment 2285138View attachment 2285139View attachment 2285140View attachment 2285141View attachment 2285142
13. Ziliongezwa 4 sio 3HIMARS zimefika 12View attachment 2285203
Ila hii vita tamu sana, ikiisha Urusi atashuka kwenye kila kituHuu mchezo hauhitaji hasira. Naona US anazidi kujaza HIMARS zinamkomesha urusi hana amani kabisa.