Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tunasonga mbele mdogo mdogo. Urusi hawataki tupambane huku. Wanarusha makombora Mijini ili kufanya uharibifu ili wajisifie. Wanatakiwa wabomoe kambi za jeshi la ukraine sio Shule, Hospitali na Vituo vya treni. Hii vita Urusi hawatoboi
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol imetekwa na Wavamizi, lakini jana siku ya Uhuru wananchi wamepandisha Bendera za Ukraine. Eti Urusi wameanza kutafuta waliopandisha bendera. Huu ni ujumbe tosha kwa Warusi kwamba Mariupol ni Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Tunaposema Azov, muwe mnaelewa, ni Battalion ambayo kutokana na Maovu ya Urusi, Ubinadamu ulishawaisha. Waanaamin watakufa, hivyo wanahakikisha wanaua Warusi wengi kabla wao hawajafa. Hawaamin kwenye kujisalimisha kwani wenzao wamekufa bila hata kujisalimisha.. So wameapa kuua. Wale Warusi waliomba kujisalimisha ila sio mikononi mwa Azov, Walifuatwa na kikosi kutoka 93rd Brigade.
Your browser is not able to display this video.
 
Ndege za Ukraine zinapita chini ya nguzo za umeme.
View attachment 2335409
Aisee, Duh! hao jamaa ni noma. Ni mashujaa mno. Huko wanakoelekea na hizo chopa wakimkuta Mrusi cjui watamfanyaje kweli - Watamalizia hasira zao kwake; watamchakaza kwa hasira kali mno kwa sababu amewafanya wapite mahali ambapo haitakiwi na ni hatari kubwa kupita kwa ndege. Heko Marubani wa Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…