Safi sana - Kazi iendeleee.
Wanaporuka kimo cha chini wanakuwa wanakwepa air defence za adui.Aisee, Duh! hao jamaa ni noma. Ni mashujaa mno. Huko wanakoelekea na hizo chopa wakimkuta Mrusi cjui watamfanyaje kweli - Watamalizia hasira zao kwake; watamchakaza kwa hasira kali mno kwa sababu amewafanya wapite mahali ambapo haitakiwi na ni hatari kubwa kupita kwa ndege. Heko Marubani wa Ukraine.
Acha iwake na iungue kabisa-kabisa ibaki majivu tu.Antonovsky inawaka muda huu
Walifanya Hesabu(Calculation) la chap-chap wakagundua kwamba kwa kukimbia kwa miguu ni nafuu na salama zaidi kuliko vifaru (Hahahahaaa) kwa hiyo lililopo ni kutelekeza vifaru na kutimua mbio. Huo moto ulikuwa ni babu kubwa. πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈπUrusi wamekimbia kwa Miguu na kutekeleza Vifaru vyao baada ya kupelekewa moto
View attachment 2335410
Ungetupia ka picha ndo ingenogaAntonovsky inawaka muda huu
Ndioooooo Azov watu makiniTunaposema Azov, muwe mnaelewa, ni Battalion ambayo kutokana na Maovu ya Urusi, Ubinadamu ulishawaisha. Waanaamin watakufa, hivyo wanahakikisha wanaua Warusi wengi kabla wao hawajafa. Hawaamin kwenye kujisalimisha kwani wenzao wamekufa bila hata kujisalimisha.. So wameapa kuua. Wale Warusi waliomba kujisalimisha ila sio mikononi mwa Azov, Walifuatwa na kikosi kutoka 93rd Brigade.
View attachment 2335164
Daraja la Antonovsky lilivyo shambuliwa bila kujali linalindwa na Urusi masaa 24Ungetupia ka picha ndo ingenoga
πππsafari hii wamelipatia. Hata kama halijashuka chini lakini chmonya hawakatizi. #FreeukraineDaraja la Antonovsky lilivyo chomwa sindano za moto
View attachment 2335999
Mbona mnawachukia hvyo warusi[emoji122][emoji122][emoji122]safari hii wamelipatia. Hata kama halijashuka chini lakini chmonya hawakatizi. #Freeukraine
ππ unajibanza lakini Drone anapiga chabo na kulishughulikia. Kikosi cha Drones wananipa raha sana.πππππ
Mbona mnawachukia hvyo warusi
WELL SAID,BIG YES,
Kama wao wanavyowachukia wa Ukraine. Unyama waliofanya BUCHA haumithiriki.
Pili wewe tulifurahia huo uonevu wa kuvamia na kumpiga mwenzako bila kosa.
Tatu, unafuatilia unyama wanaofanya kwa raia (Civilian) kinyume na sheria za kivita.
Nne, wewe unafurahia wanavyopiga makazi ya watu (apartments) na kuharibu miundo mbinu na kuacha magofu.
Ni kweli. Warusi wasingekuwa wanatumia mwamvuli wa kujificha kwenye makazi ya watu na vifaru vyao, hii vita ingekuwa imeshaisha na Crimea ingekuwa tayari imeshakombolewa.WELL SAID,
Wamarekani wanapoenda vitani wanajali sana kuepusha casualities za raia, na hii imekuwa ikiwagharimu sana vita nyingi, Mmarekani mahali penye raia hapeleki moto!! Huyu mshenzi Mrusi yeye anapiga majengo bila sababu yoyote ya msingi, anarusha mabomu ovyo ovyo halafu anajisifia!!! Kama Ukraine angefanya kama Mrusi Crimea ingekuwa imesharudi.
Hii video ni ya genge la wauza madawa ya kulevya huko Colombia na ina muda saanaIla Azov jamani! Dah! Ndo maana huwa wanasema binadamu ni mnyama. Mrusi alijua atatekwa halafu wabadilishane wafungwa
View attachment 2335990