Rada ya thamani sana ya Urusi aina ya 9S36M na air defense System aina ya Buk-M3 vikiwa vimeharibiwa na majeshi ya Ukraine maeneo ya Mji wa Novyi Bykiv Mkoani Chernihiv
Hawa Warusi walipigwa Kombora, Wanzao wakaja na machela kuwabeba. Wote waliobebwa na waliobeba wakapigwa Kombora lingine wote wakakukufa. Kama ukizoom kuna waliofia kwenye Machela. Hivi vipandepande vya vifaru vya Urusi ni aina ya BTR-82A Viwili, T-72B3 Viwili, BMD-4M/2/958 kimoja