Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hatimaye Ukraine wamefanikiwa kuteka kifaru aina ya TOS-1A thermobaric multiple rocket launcher maeneo ya Novyi Bykiv, #Chernihiv
20220402_134919.jpg
 
Hivi Vifaru ni aina ya 1V14M-1, T-72B na MT-LBu variant. Pia kuna Vifaru vinne aina BTR-82A vyote vya Urusi. Vimetekwa na Ukraine
20220402_160255.jpg
20220402_160252.jpg
20220402_160249.jpg
20220402_160246.jpg
20220402_160236.jpg
20220402_160233.jpg
20220402_160230.jpg
 
Tarehe 02 April 2022: Maeneo ya Novyi Bykiv Mkoani Chernihiv Magari ya Mizigo ya Urusi yakiwa na madumu ya mafuta na risasi, yameharibiwa vibaya sana.
20220402_172524.jpg
20220402_172521.jpg
20220402_172519.jpg
20220402_172516.jpg
 
Angalia silaha aina ya ATGM ilivyoharibu kifaru cha Urusi aina ya BMP-3
 
 
02 April 2022 Jeshi la Urusi limejaribu kuingia Kyiv likakutana na Mtemakuni
 
Hawa wanajeshi wa Chechen waoga balaa.. Wanapigania ndani ya geti.. Si watoke nje? 🤣🤣🤣🤣
 
Angalia Wanajeshi wa Urusi wanavyo tafutana Energodar 😂😂😂😂
 
Drone za Ukriane si Mchezo. Warusi wanachunguliwa bila wao kujua. Halafu wanabutuliwa
 
Gari la mafuta la Urusi kakyiv
 
Sniper wa Canada WALI ambaye ni tishio kwa Urusi, leo kaachia Video yake akiwa Frontline uwanja wa Mapambano.

Bado anatumia bundiki aina ya Sako TRG-42 sniper rifle kutoka Finland na darubini inayokaa kwenye mtutu aina ya Schmidt & Bender PM II rifle scope
 
Wanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye Uwanja wa ndege wa Gostomel leo baada ya kuukomboa na kuwafurumusha Warusi
 
Rada ya thamani sana ya Urusi aina ya 9S36M na air defense System aina ya Buk-M3 vikiwa vimeharibiwa na majeshi ya Ukraine maeneo ya Mji wa Novyi Bykiv Mkoani Chernihiv
20220402_214312.jpg

20220402_220622.jpg
 
Hawa Warusi walipigwa Kombora, Wanzao wakaja na machela kuwabeba. Wote waliobebwa na waliobeba wakapigwa Kombora lingine wote wakakukufa. Kama ukizoom kuna waliofia kwenye Machela. Hivi vipandepande vya vifaru vya Urusi ni aina ya BTR-82A Viwili, T-72B3 Viwili, BMD-4M/2/958 kimoja
20220402_220751.jpg
20220402_220754.jpg
20220402_220757.jpg
20220402_220759.jpg
20220402_220807.jpg
20220402_220809.jpg
 
Haya mabomu waliyapanga kuwalipua waukraine, mwisho wa siku wamepigwa na Ukraine wakajiokotea
20220402_221627.jpg
20220402_221631.jpg
20220402_221634.jpg
 
Ukraine wamejiokotea Helkopta. Au marubani walikikufa?
20220402_225629.jpg
 
Mkulima kajiokotea Kifaru aina ya 2S34 Hosta
 
Kuna Watanzania Wawili wapigania haki, wamedakwa Ukireina.
 
Leo tumebadilishana Mateka 86 kwa 86. Miongoni mwa mateka walioachiwa ni hawa warembo 15
20220402_230336.jpg
 
Back
Top Bottom