Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo Azov wanaongea na wanahabari na dunia kwa ujumla wake. Kama utapenda kujisajili
 
Wanajeshi wengi wa Ukraine huwa naona wanakuwa na limkasi hapo mbele ni kwa ajili gani?
Huo mkasi unasaidia kuchana nguo pale mwanajeshi anapo jeruhiwa. Saa nyingi mtu anaumia kiasi kwamba kila anapoguswa makelele. Hivyo kumvua nguo wanachana. Kwaajili ya huduma ya kwanza. Mfano
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…