Kwani Urussi walikuwa hawajui kwamba kipindi cha winter kinakuja wajiandae? au walidanganywa na wakaamini hiyo ni OP ya 72 hrs tu. Imekula kwao.Kuna msala mwingine unalisubiri jeshi la Urusi winter inapoingia. Hawana mavazi mazuri ya kukabiliana na Winter!
Mbona tuliaminishwa humu Urusi wanasubiri msimu wa baridi watangaze ushindi kama kawaida yao kwa kuzingatia historia ya vita zilizopita?Mavazi Turkey amekataa wauzia, Ukraine wamepewa bure.
Kutokana na baridi kali ndo maana Ukraine wamefuta conscription
Mzee wa mikwara Putin alisema ikitokea nchi yeyote ikagusa Daraja lake la Crimea basi atatandika nuclear.Wakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601
Msimu wa baridi ndio tutaona ubabe wa Marekani, lazima ataleta silaha tofauti na tuzijuazo... Maana silaha nyingi kwa sasa kipindi cha baridi hazifanyi kazi sababu huoni mbeleMbona tuliaminishwa humu Urusi wanasubiri msimu wa baridi watangaze ushindi kama kawaida yao kwa kuzingatia historia ya vita zilizopita?
Instead kumbe wao ndio wahanga #1 kabla hata msimu haujachanganya tayari wametepea! Marusi kwa propaganda mfu hayawezekaniki.
Uungwana ni ku surrender. Angalau inakupa possibility ya 50% survival. Failure to comply the order, is to threaten your life by 100%.
Safi sana. Ukraine troops mungu yuko pamoja nanyi. Tunawaombea sana kwa mungu, muwatoe hawa washenzi waliovamia ardhi yenu na kuua raia wasio na hatia.Haya yalikuwa maandalizi ya kuwafurusha Warusi waliojimilikisha huko Kostromka, Mkoani Kherson
View attachment 2380202