Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wamekimbia wakaacha mzigo
20221007_234038.jpg
20221007_234029.jpg
20221007_234027.jpg
20221007_234024.jpg
20221007_234019.png
20221007_234016.jpg
 
Mavazi Turkey amekataa wauzia, Ukraine wamepewa bure.
Kutokana na baridi kali ndo maana Ukraine wamefuta conscription
Mbona tuliaminishwa humu Urusi wanasubiri msimu wa baridi watangaze ushindi kama kawaida yao kwa kuzingatia historia ya vita zilizopita?

Instead kumbe wao ndio wahanga #1 kabla hata msimu haujachanganya tayari wametepea! Marusi kwa propaganda mfu hayawezekaniki.
 
Wakuu, hili daraja kulipuliwa ni aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
 
Wakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601
Mzee wa mikwara Putin alisema ikitokea nchi yeyote ikagusa Daraja lake la Crimea basi atatandika nuclear.

Leo anasema itakuwa ni kitendo Cha kigaidi tu na sio Ukraine waliotandika sababu hawana uwezo.

Kapewa zawadi yake ya birthday ya kutimiza miaka 70 Duniani.

Asanteni.
 
Mbona tuliaminishwa humu Urusi wanasubiri msimu wa baridi watangaze ushindi kama kawaida yao kwa kuzingatia historia ya vita zilizopita?

Instead kumbe wao ndio wahanga #1 kabla hata msimu haujachanganya tayari wametepea! Marusi kwa propaganda mfu hayawezekaniki.
Msimu wa baridi ndio tutaona ubabe wa Marekani, lazima ataleta silaha tofauti na tuzijuazo... Maana silaha nyingi kwa sasa kipindi cha baridi hazifanyi kazi sababu huoni mbele
 
Uungwana ni ku surrender. Angalau inakupa possibility ya 50% survival. Failure to comply the order, is to threaten your life by 100%.

Uungwana ni vitendo, wakikaza fuvu watageuka kuwa mizoga. Aliyewapa order ya kuja kuua wa Ukraine hakuna hata mtoto wake aliyeenda kwenye mobilized troops. To surrender is the very best option for them.
 
Back
Top Bottom