Ulafi mtupu. Waliiba sana nafaka, vifaa vya nyumbani n.k. sasa Hata wanyama!!! Cjui kama watakuwa wamewaandalia hao wanyama mahali pa kuishi au ndo wanaenda kuchinjwa na kuliwa maskini.Warusi wakati wanaretreat Kherson, waliiba wanyama kwenye zoo na kuwapeleka Urusi
View attachment 2416046
Naona warusi waliona Ukraine ni dampo la scraper zao.Uwanja wa ndege wa Chornobaivka huko Kherson. Warusi waliacha mzigo. Hizo ndege nyingi zinazoonekana zinaitwa Antonov An-2. Za kizamani.. Tutazitumia kumwagilia mashamba ya alizeti🤣🤣
View attachment 2416039
Mbn hawa ni marehemu mpk sasaWanajeshi wa Ukraine wakiwa tayari kuulinda mji wa Nikolaev.
View attachment 2158051
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Kherson walivyo wapokea Wavamizi Machi na wanavyo wapokea Mashujaa wao baada ya Ukombozi
View attachment 2414864
Slava Ukraine [emoji1255]Babushka(Bibi) aliwaibia risasi Warusi, Wanajeshi wa Ukriane walipofika amewapa wakazitumie kuwafukuza wavamizi hawa. Ukraine wana umoja sana na wanapendana, kuwashinda si rahisi
View attachment 2414890
Watu wangu w nguvu Azov Bravo [emoji122]Ndo utashangaa Azov walipita wapi[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2414912
Umoja ni nguvuFamilia za Kherson ziliwaandalia chakula Wanajeshi wa Ukriane walipo komboa mji mkuu
View attachment 2414955
Safi sana mheshimiwa zelenskyRais wa Ukraine Mheshimiwa Zelensky amesema, anasema ameomba majadiliano miaka miwili kabla ya Vita lakini walikuwa wanamkatia simu. Wanamdharau. Urusi wamekuwa wakiua Wananchi wetu. Sasa hivi jeshi lao limezidiwa na kukosa mwelekeo, eti ndo wanaomba majadiliano.
Putin anataka majadiliano huku ameshika Mtutu wa Bunduki, huku anashambulia Kyiv kwa Missiles. Aweke Silaha chini, aondoke kwenye Ardhi yetu ndipo aombe Majadiliano.
View attachment 2414960
Bravo komamndo AndreiHuyu ndo Kiongozi Mkuu wa Majeshi ya Ukraine upande wa Kusini. Komando Andrei Kovalchuk akiwa anaingia Kherson. Wananchi wamempokea kwa furaha.
View attachment 2414978
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu Sniper amewatungua Warusi wote wakiwa wanashangaa risasi zinatokea wapi. Thermal scopes zinasaidia kuona usiku. Snipers wanazitumia sana. Unamuona mtu ila huoni sura
View attachment 2416166
Hahahaaa!! Anamuongopea PutinWaziri wa Ulinzi wa Urusi amesema hakuna silaha zilizobaki Kherson. Huku Wanajeshi wa Ukriane wanaendelea kukusanya Silaha walizookota Kherson
View attachment 2416190
Ina maana 85 waligeuzwa kitoweo cha fisi au una maana gani15 left out of the 100.🤣🤣🤣
View attachment 2416072