Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Thermal scopes za Masniper giza likiingia
thermal-guy-with-gun.jpg
bedbug-thermal-vision4.jpg
bedbug-sees-hand.jpg
marines-sundown.jpg
 
Rais wa Ukraine Mheshimiwa Zelensky amesema, anasema ameomba majadiliano miaka miwili kabla ya Vita lakini walikuwa wanamkatia simu. Wanamdharau. Urusi wamekuwa wakiua Wananchi wetu. Sasa hivi jeshi lao limezidiwa na kukosa mwelekeo, eti ndo wanaomba majadiliano.

Putin anataka majadiliano huku ameshika Mtutu wa Bunduki, huku anashambulia Kyiv kwa Missiles. Aweke Silaha chini, aondoke kwenye Ardhi yetu ndipo aombe Majadiliano.
View attachment 2414960
Safi sana mheshimiwa zelensky
 
Back
Top Bottom