Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Slava Ukraine [emoji1255]
 
Angalia kundi la Maiti za Urusi. Risasi za kichwa tu. Wamekuja Ukraine kufanya nini?
View attachment 2518357
Aisee! vichwa vimebomolewa utadhani ni chungu cha udongo. Dah! Lakini bro. yataka moyo sana kuangalia maiti zote hizo na jinsi vichwa vyao vilivyobomolewa kwa risasi. Yani ni kama kubangua korosho za Mtwara kule kwa mkono. Inaonekana Ukraine ni washenzi kwa shabaha. Slava Ukraine.
 
Kila siku usiku askari wa Wagner wanajaribu kuvamia huko Bakhmut wakiwa katika vikundi vya watu wachache wachache, lakini wengi wanauawa sana lakini bado wanapelekw watu tu.

Cheki hii video

View attachment 2518309

Usicheze na Technology. Wao wanadhani usiku hawaonekani maana ni gizani. Jamaa wanawaweka kwenye target na kuwateketeza. Hongera sana kikosi cha upelelezi, hamlali mnawasubiria panya buku waje.
 
Kweli mrusi alibugi men. Safari hii kanasa. Kama ndo hivo wanaume watapiga mzigo hadi usiku.
 
Urusi wao wanataka wagombanie Mjini ili wabomoe Makazi ya watu. Wanapiga Makombora Makazi ya watu kisha wanajisifia. Hawa wanafanya uharibifu tu. Msituni hawataki, wanataka vita ipiganwe mjini.. Hapa ni Vuhledar
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…