kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Denmark wameipa Ukraine CAESAR self-propelled howitzers zote Walizonazo. Silaha niipendayo[emoji7]
View attachment 2516583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Denmark wameipa Ukraine CAESAR self-propelled howitzers zote Walizonazo. Silaha niipendayo[emoji7]
View attachment 2516583
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Ukraine wanavyo Wanyemelea Wagners Battalion ya battalion Aidar huko Bakhmut
View attachment 2516587
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Walikuja kishujaa na mbinu nyingi za kijeshi za kutembea zigzag, ila wamerudi wanachechemea
View attachment 2518062
Slava Ukraine [emoji1255]Huu mzigo uloshuka ambao kuna M2 Bradley IFVs, HMMWVs na AN/TWQ-1 Avenger version, ngoja tuone Ubora wake. Kama kutakuwa na mabadiliko. Nadhani hatua kwa hatua. Ngoja kazi ipigwe mwezi ndo tutajua ubora kabla ya kulalamika sana. Kipindi Urusi amechachamaa na Drone zake za Iran aina ya Shahed-136, Ujerumani alitoa Silaha inaitwa Gepard self-propelled air defense systems. Tukalalamika sana kwamba sio silaha nzito. Baada ya wiki tukaona Mafanikio, sasa hivi Drone za Urusi sio tishio tena. Gepard moja inaweza angusha hata drone 30. Japo sio nyingi ila kila sehemu yenye Miundombinu sasa hivi kuna Gepard japo hakuna za kutosheleza Nchi nzima.
View attachment 2518127View attachment 2518128View attachment 2518129View attachment 2518130
Hii ndo Gepard
Slava Ukraine [emoji1255]Marekani wamefanikiwa kutengeneza miwani inayowezesha kuona Usiku aina ya ENVG-B night vision. Miwani hii inasaiddi kuona kukiwa na Vumbi, moshi, giza nene hata mtu akiwa chini ya ardhi. Hii miwani itawezesha Ukraine kupigana usiku na mchana.
View attachment 2518349
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Kundi la Wanajeshi wa Urusi lilivyo Dakwa, wanaomba msamaha wasipigwe risasi za kichwa. Ukileta jeuri unapasuliwa tu
View attachment 2518373
Amebaini kwamba kumbe kati ya waliokuwemo ndani ya gari hilo ni mshikaji wake - akaangua kilio.Dakika chache baada ya gari la Wavamizi kulipuliwa. Jamaa alia kama mbwa🤣🤣🤣.. Warusi bana
View attachment 2518352
Slava Ukraine [emoji1255]Moja wa kiongozi wa Wagners anapelekwa sehemu Maalum kupelelezwa na Wapelelezi wa Ukraine
View attachment 2518378
Kweli kabisa. Hata mimi naona hivyo. Vifaru na Magari watakuwa wanayabania. Sababu yanateketezwa sana. Vita si mchezo. Wanakimbia ovyo kama ngiriInaonesha Urusi kaishiwa IFV na APC maana sio kwa kutuma watu wajipeleke hivi
Aisee! vichwa vimebomolewa utadhani ni chungu cha udongo. Dah! Lakini bro. yataka moyo sana kuangalia maiti zote hizo na jinsi vichwa vyao vilivyobomolewa kwa risasi. Yani ni kama kubangua korosho za Mtwara kule kwa mkono. Inaonekana Ukraine ni washenzi kwa shabaha. Slava Ukraine.Angalia kundi la Maiti za Urusi. Risasi za kichwa tu. Wamekuja Ukraine kufanya nini?
View attachment 2518357
Aombe watakaomhoji/peleleza kwa maswali/dodosa wasiwe ni AZOV. Akizingua wanapasua kichwa chap.Moja wa kiongozi wa Wagners anapelekwa sehemu Maalum kupelelezwa na Wapelelezi wa Ukraine
View attachment 2518378
Kila siku usiku askari wa Wagner wanajaribu kuvamia huko Bakhmut wakiwa katika vikundi vya watu wachache wachache, lakini wengi wanauawa sana lakini bado wanapelekw watu tu.
Cheki hii video
View attachment 2518309
Kweli mrusi alibugi men. Safari hii kanasa. Kama ndo hivo wanaume watapiga mzigo hadi usiku.Marekani wamefanikiwa kutengeneza miwani inayowezesha kuona Usiku aina ya ENVG-B night vision. Miwani hii inasaiddi kuona kukiwa na Vumbi, moshi, giza nene hata mtu akiwa chini ya ardhi. Hii miwani itawezesha Ukraine kupigana usiku na mchana.
View attachment 2518349
Ukilala nchale, ukigeuka nchale. 😂😂😂
Jagajaga ana sauti kama ya Rapa fulani hivi. Video za jagajaga zina raha yake 😂😂😂😂Jagajagaaa
View attachment 2518358
Hata ngiri hawaoni ndani. 😂😂😂Kweli kabisa. Hata mimi naona hivyo. Vifaru na Magari watakuwa wanayabania. Sababu yanateketezwa sana. Vita si mchezo. Wanakimbia ovyo kama ngiri
View attachment 2518413