Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ni kwani i wanajeshi wa urusi waonwanakuwaga na combat tofauti tofauti yaani siku zote warusi wakitekwa lazima uone uniform zoa ziko tofauti tofauti ndani ya kundinla watu 20 unaweza kuona wamevaa ata sare 6 tofauti tofauti
Kutokana na Mazingira ya baridi. Pia ni Vikosi tofauti. Wengine ndani unakuta kavaa nguo nyingi, ili akizidiwa anavua sare ya juu anajifanya raia wa Ukaine.
 
Kutokana na Mazingira ya baridi. Pia ni Vikosi tofauti. Wengine ndani unakuta kavaa nguo nyingi, ili akizidiwa anavua sare ya juu anajifanya raia wa Ukaine.
Nakumbuka vita ya kagera wanajeshi wa amini walikuwa na huo mtindo,japo walikuwa wanakuja kupeleleza,sasa raia tulifundishwa kila mtu kumjua jirani yake tulipoona sura tofauti tulitoa taarifa kwa mjumbe wa nyumba kumi kumi,walikamatwa kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…