figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #12,221
Mkuu; Yan unasema eti waingie kichwa-kichwa?Sasa huu ndio uharibifu wa silaha kumbe. Mtu mshatupa hati mabomu mnapiga risasi za nini si muingie kwenye handaki sasa 😀😀😀
Jamaa kaona kukimbia kwa miguu hatawahi bora akimbilie magoti 😂😂😂Warusi walipanga kuvamia mahandaki ya Ukraine bila kujua Ukraine wamejipanga. Walivyo shindwa qakageuza lakini hawakufika mbali🤣🤣
View attachment 2558413
Kuna nini? Kwa nini ameiomba Ukraine na Umaja wa Ulaya wamalize Mtafaruku? Kwani Ukraine na Umoja wa Ulaya ndo waliouanzisha huo mtafaruku? Wamwachie mwenyewe Putin alinywe kama alivyoligema.Urusi kupitia Waziri wake wa Mambo ya nje, Zakharova ameiomba Ukraine na Umoja wa Ulaya kumaliza Mtafaruku wa Ukraine kwa njia ya Diplomasia. Ameomba kuondolewa vikwazo ambavyo Urusi imewekewa pia ameomba Putin afutiwe kesi ICC huko The Hague.
View attachment 2557717
Haijawahi kutokea mahali Urusi akawa na huruma. Inaelekea neno Huruma haliko kwenye Kamusi ya Mrusi.Urusi imekuja Ukraine uteketeza wanajeshi wake? Haiwaonei huruma🤣🤣🤣
View attachment 2557854
Huyu ni mtu mkubwa. Anaongea kama alivyoagizwa na Boss wake. Hapo ujue ni maagizo ya Putin na Serikali yake. Kwa mantiki hiyo, na kwa uzoefu wa kauli za Putin, hapo hakuna kitu. Ni ubabaishaji na Usanii mtupu.Nadhani Maria ni Msemaji wa Wizara. Cheo chake ni Director of the Information and Press Department of the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation. Na anayoongea ndo msimamo wa Wizara/Waziri wa mambo ya nje. Vyeo vyao wanavijua wenyewe
View attachment 2557844
The best option 👆 👆 👆 👆 👆 👆 👆Ukraine ishaweka wazi. Urusi ikataka mazungumzo iondoe vikosi vyake Ukraine. Hatuwezi kuongea na mtu ameshika mtutu. Aweke silaha chini arudi kwake then ndo tuonhee ataijega vipi Ukraine
View attachment 2557730
Uzuri hati ya kumkamata huwa haina expire date. Hata baada ya miaka 50 utakamatwa tu. Sasa hivi hawezi kwenda kwenye nchi yoyote ambaye ni mwanachama wa ICC. Salama yake asitoke nje ya nchi au aende nchi kama Belarus tuHuyu ni mtu mkubwa. Anaongea kama alivyoagizwa na Boss wake. Hapo ujue ni maagizo ya Putin na Serikali yake. Kwa mantiki hiyo, na kwa uzoefu wa kauli za Putin, hapo hakuna kitu. Ni ubabaishaji na Usanii mtupu.
Putin ni mjeuri, mbabaishaji na mlaghai sana. Hiyo kauli yake na majibu yaliyotolewa na Ukraine yalishawahi kutolewa 2022. Mbona anarudia-rudia kana kwamba Ukraine atabadili majibu/msimamo?Ukraine ishaweka wazi. Urusi ikataka mazungumzo iondoe vikosi vyake Ukraine. Hatuwezi kuongea na mtu ameshika mtutu. Aweke silaha chini arudi kwake then ndo tuonhee ataijega vipi Ukraine
View attachment 2557730
Hata akikimbilia huko Belarus, wakimpania bado anaweza kukamatwa.Uzuri hati ya kumkamata huwa haina expire date. Hata baada ya miaka 50 utakamatwa tu. Sasa hivi hawezi kwenda kwenye nchi yoyote ambaye ni mwanachama wa ICC. Salama yake asitoke nje ya nchi au aende nchi kama Belarus tu
Huwezi kumkamata. Bila mamlaka za nchi husika kukubali ukamatiwe nchini kwao hawawezi. Putin anaweza kwenda Belarus kwa kifua mbele maana ni koloni lakeHata akikimbilia huko Belarus, wakimpania bado anaweza kukamatwa.
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Nguvu inazidi kuongezwa Bakhmut. HMMWV M1152, HUSKY TSV (Tactical Support Vehicle), MRAP Wolfhound 6x6 armored vehicle, Oshkosh M-ATV
View attachment 2557323
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu Mrusi kanicheka. Inaonekana katumwa akapime uzito.
View attachment 2557379
Slava Ukraine [emoji1255]Wagners wanakufa kama sisimizi
View attachment 2557447